Tanzania ni Kama njia panda ,na hawa viongozi wamekutano hapo ila kila mtu alikuwa na ukubwa wake huko alikotoka yaani Tanganyika na Zanzibar sasa sisi tunataka kujuaMarekani ina founding fathers kama sita ivi Wakina Washington, Alexander hamiliton, Ben Franklin
Karume ni muhusika BapaNyerere ni Icon, karume anaweza kuwa baba mdogo wa taifa. Achievements za nyerere haziwezi kulinganishwa na za karume kisiasa.
Movie inaweza kuwa na actors wengi lakini main akawa mmoja.
Tuna Taifa moja hatuwezi kuwa na Baba wa Taifa wawili. Tukianza hivyo tutakuwa na Baba wa Taifa kwa kila Kitongoji hivyo hatutakuwa na Baba wa Taifa bali baba wa vitongoji. Zanzibar si TaifaHeshima kwenu Sana JF
.
Leo katika kumbukizi ya kifo cha MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE , kuna mambo mengi Sana natamani ni yajue
Mosi ; ikiwa tuna fahamu ya kuwa Tanzania ni nchi ambayo imetokana na muunganiko Wa mataifa haya mawili yaani Tanganyika na Zanzibar
.
Pia tunajua fika kuwa kabla ya muunganiko huu mataifa haya yalikuwa na waasisi wake ambao ni MZEE KARUME & MZEE JULIUS
.
Hapo awali nilifikiri hii sentensi ya "BABA WA TAIFA " Ipo katika nafsi ya uwingi kwa maana ya kuwa tuna baba zetu Wa TAIFA wawili
.
Lakini ajabu ni kuwa Tanzania tuna mtambua mzee nyerere pekee Kama baba Wa TAIFA hili kwanini?
Natamani wajuzi Wa mambo mnifahamishe kuhusu hili
suala hapa ni JJ kwanini NYERERE ndiyo baba na ni KARUME ,wala sijahitaji wawe wawiliTuna Taifa moja hatuwezi kuwa na Baba wa Taifa wawili. Tukianza hivyo tutakuwa na Baba wa Taifa kwa kila Kitongoji hivyo hatutakuwa na Baba wa Taifa bali baba wa vitongoji. Zanzibar si Taifa
Bibi titiJe Mama wa Taifa ni nani
ooh ! Kiukweli nilikuwa sijui hili, kwamba KARUME anachukiwa Sana ..vipi kwa dondoo umebahatika kujua ni kwanini anachukiwaKuna tofauti kubwa sana kati ya Karume sr na Nyerere.
Nyerere ana percantage ndogo ya waliompinga na kumchukia majority wanakubliana nae mengi kimsing au walukuja kumkubali baadae tukija kwa karume kuna majority wanalichukia hata kaburi lake hata sasa na anakubalika kiitikadi na kikanda maeneo mengine na itikadi zingine hazimkubali asilan.
Kwa point hizo chache i can comfortably argue kuwa Karume hawezi kuwa baba wa taifa hata znz zaid ya muasisi
Baada ya muungano Karume alikuwa makamu wa rais wa Tanzania na nyerere alikuwa rais wa Tanzania. Hivyo Baba wa taifa la Tanzania ni aliyekuwa rais wa Tanzania na siyo makamu wake.kwa kweli mkuu tunasahau kuwa hii nchi ni muungano ingekuwa baba Wa TAIFA la Tanganyika it's okey, lakini why kwa Tanzania
Chadema wana shangazi wa Taifa tayari.ahaha kwa style hii tutapata mpaka wajomba Wa taifa
Kwani Zanzibar ni Taifa?Ujinga wetu sisi ndio matokeo yetu sisi ,hakika Karume pia ni baba wa Taifa.
Hahaha ..dah watu wasingekuwa wanafikiri leo hii kungekuwa hakuna jamii forumHaya ndio matatizo ya kufikiri sana, mmetuletea DNA inaanza kuharibu ndoa za watu....Acheni kufikiri kila kitu.
Ahahaha lakini aliwaongoza wazanzibar unadhani angeshindwa kuuongoza muunganoKuna watu walikuwa wanasema alikuwa hajui kusoma