Kwanini Abeid Karume si Baba wa Taifa?

ZANZIBAR si TAIFA, unataka awe baba wa Taifs gani?
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, ni mkoa flani tu.
Sasa Zanzibar anakuwaje sehemu ya TANZANIA ikiwa Tanzania ametoholewa kutokana na jina Zanzibar rekebisha kumbu kumbu chief
 
Sasa Zanzibar anakuwaje sehemu ya TANZANIA ikiwa Tanzania ametoholewa kutokana na jina Zanzibar rekebisha kumbu kumbu chief
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania
Now Zanzibar is a part of the newTanzania {Not Tanganyika}
 
Karume Hawezi kuwa baba wa taifa.. Kwakuwa zanzibar sio nchi.. Af we ushaona wapi baba wanakuwa wawili. Labda awe mama wa taifa kwakuwa alidanganywa na nyerere.
 
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania
Now Zanzibar is a part of the newTanzania {Not Tanganyika}
ulicho andika nisawa na mfano huu ANNA JUMA azae mtoto amuite JOSHUA
Alafu wewe uje umuute ANNA JOSHUA alafu useme huyu ni new Anna vipi inakuingia akilini?
 
Kwenye wingi ingekua 'MABABA WA TAIFA'.
 
Jibu ni rahisi mkuu,,nyerere ndio raisi wa kwanza was Tanzania, pili ndio raisi aliesave muda mrefu pia kaacha mafanikio mengi Tanzania I mean Zanzibar na Tanganyika

Karume alikuwa raisi wa Zanzibar so hajaqulify kuwa baba wa Taifa labda aitwe baba wa Zanzibar
 
Karume Hawezi kuwa baba wa taifa.. Kwakuwa zanzibar sio nchi.. Af we ushaona wapi baba wanakuwa wawili. Labda awe mama wa taifa kwakuwa alidanganywa na nyerere.
unapo sema Zanzibar siyo nchi Una maanisha nini? Sasa yule Raisi Wa Zanzibar anaongoza nchi gani?
 
Taifa kama ilivyo familia, haliwezi kuwa na Baba wawili.

Lakini pia Hana vigezo.
Kwahiyo Karume ni mama wa Taifa? Mpeni hata ubaba wa kambo basi..

Karume alipata nchi kwa MAPINDUZI , Nyerere alipata Tanganyika kwa POROJO..

Nani katika hao ana hadhi ya kuwa BABA?
 
Pale south Africa,wapigania Uhuru walikuwa wengi,Chriss Hani,Steve Biko,Desmond Tundu,Mangosuthu buterezi,Oliver Tambo,lakini aliyepewa heshima kubwa ni Madiba,Mandela!
 
Ni baba mdogo wa Taifa.
 
Kwahiyo Karume ni mama wa Taifa? Mpeni hata ubaba wa kambo basi..
Karume alipata nchi kwa MAPINDUZI , Nyerere alipata Tanganyika kwa POROJO..
Nani katika hao ana hadhi ya kuwa BABA?
ahaha wabongo dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…