Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
WAKATI NILIKUWA MDOGO NILI
MUULIZA MAMA kwann unalia ...?
Mama akanijibu kwa sababu "yeye
ni MWANAMKE"
Nika mwambie
sikuelewi ...akanijb ...."Huwez
nielewa mwanangu '"huku akini
kumbatia akilia
NIKAMUULIZA BABA KWANINI
MAMA ANALIA ..?...akanijibu
"wanawake hulia bila sababu
"...ooops
SASA NIMEKUA NIMEGUNDUA KUWA
kuwa mwanamke ameumbwa
special Sana .....
**Ameumbiwa mabega imara
kubeba uzito wa dunia nzima,
upole wa wa kufariji.
**Ameumbiwa uimara kuvumilia
maumivu ya kujifungua na ukaidi
utokao kwa watoto wake mara
nyingi
**Ameumbiwa uvumilivu wakuto
kata tamaa mazingira ambayo
wengi hukata tamaa, nakuilea
familia yake kwa kwa mvua na jua
bila ya kulalamika
**Ameumbiwa upendo kwa
watoto wake kwa Kila hali hata
kama watoto wake wa muumize
vp
**Ameumbiwa unyenyekevu wa
hali ya juu kwa mmewe licha ya
makosa ya mmewe. na husimama
imara kwa mmewe
==**NAHATIMAE KAUMBIWA
MACHOZ ANGALAU KUMPOZA NA
MZIGO WOTE HUO JUU.
NDOMANA MIMI LEO NAAMINI
UZURI WA MWANAMKE HAUPO
KWENY NGUO AVAAZO ...UMBO
ALILO BEBA ..AU NYWELE AU SURA,
BALI UZURI WA MWANAMKE LAZMA
UONEKANE MACHONI MWAKE ...KWA
SABABU NDO MLANGO PEKEE WA
MOYO WAKE AMBAPO NDIPO
MAPENZ HUISHI.
Ongeza na zako.
MUULIZA MAMA kwann unalia ...?
Mama akanijibu kwa sababu "yeye
ni MWANAMKE"
Nika mwambie
sikuelewi ...akanijb ...."Huwez
nielewa mwanangu '"huku akini
kumbatia akilia
NIKAMUULIZA BABA KWANINI
MAMA ANALIA ..?...akanijibu
"wanawake hulia bila sababu
"...ooops
SASA NIMEKUA NIMEGUNDUA KUWA
kuwa mwanamke ameumbwa
special Sana .....
**Ameumbiwa mabega imara
kubeba uzito wa dunia nzima,
upole wa wa kufariji.
**Ameumbiwa uimara kuvumilia
maumivu ya kujifungua na ukaidi
utokao kwa watoto wake mara
nyingi
**Ameumbiwa uvumilivu wakuto
kata tamaa mazingira ambayo
wengi hukata tamaa, nakuilea
familia yake kwa kwa mvua na jua
bila ya kulalamika
**Ameumbiwa upendo kwa
watoto wake kwa Kila hali hata
kama watoto wake wa muumize
vp
**Ameumbiwa unyenyekevu wa
hali ya juu kwa mmewe licha ya
makosa ya mmewe. na husimama
imara kwa mmewe
==**NAHATIMAE KAUMBIWA
MACHOZ ANGALAU KUMPOZA NA
MZIGO WOTE HUO JUU.
NDOMANA MIMI LEO NAAMINI
UZURI WA MWANAMKE HAUPO
KWENY NGUO AVAAZO ...UMBO
ALILO BEBA ..AU NYWELE AU SURA,
BALI UZURI WA MWANAMKE LAZMA
UONEKANE MACHONI MWAKE ...KWA
SABABU NDO MLANGO PEKEE WA
MOYO WAKE AMBAPO NDIPO
MAPENZ HUISHI.
Ongeza na zako.