Usaliti unatokana na kufeli mitihani kumi aliyopewa mwanaadamu kutoka kwa Mungu katika maisha yake yote hapa duniani. Mitihani hiyo ni zile amri kumi za Mungu. 1. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, usiwe na Miungu wengine. Lakini wanaadamu tunaabudu madudu kibao mpaka kupiga ramli ili kuijua kesho yako. ----------- 6. Usizini. hapa ndio kabisaaaa sina la kusema. Usishuhudie uongo. ingekuwa uongo unavimba kama jibu, miili ya wengine ingekuwa haina sura ya kutizamika. yapo mengi ila kwa leo inatosha.