Kwani Yeye Ameweza ana Nini?

ikwete ameufanya urais uwe ni rahisi mno kuuwaza na kufikiria kuupata...
 
ikwete ameufanya urais uwe ni rahisi mno kuuwaza na kufikiria kuupata...
kwa kifupi ametuangusha sana kinyume na matarajio.............ushkaji umem-cost sana
 
Hilo ni wazo la aliyemnunulia hiyo tisheti. Hajamtendea haki kwa kutoifua hiyo t-shirt na kwa kutomtoa kamasi. Hii inaonyesha ni jinsi gani hajajiandaa kutimiza ndoto zake za kumwezesha mwanae awe rais. Sina hakika km anasimamia vizuri elimu ya huyu dogo ili aje kuukwaa urais.
 
Tena huenda ujumbe wa shina ni mgumu kuliko U-rahisi
 
Mmmmh mbona huyu tayari ni Presidaa sasa... Au macho yangu, hebu cheki Tabasmu lake. Nafikiri hapa alipokuwa mdogo... Safi sana.:bump2:
 
Mmmmh mbona huyu tayari ni Presidaa sasa... Au macho yangu, hebu cheki Tabasmu lake. Nafikiri hapa alipokuwa mdogo... Safi sana.:bump2:
Unamaanisha huyu ni JK alipokua mdogo?
 
BOWLIBO weweumeji exclude hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…