Aachane na wanawake halafu aanze kupumuliwa kisogoni au ?Kama wanawake huwaelewi achana nao, utakuja kujiua ama kuua mtu
Mpenzi wako anahitaji quality time nawe. Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha akwendee wanawake wapo wengi Sana kwa hii dunia kwani yeye ndo wakwanza kuwa nae asinchoshe akili mimi.
Mpige mimba na akizaa baada ya miezi nane mpige nyingine mpaka achokeee na atatulia tuHabari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha yenu misielewi.
Mkuu acha tu kuna wanawake wanakera Sana kwenye maishaKama bado hujawaelewa wanawake achana nao usije kuua mtu ama kujiua bure.
Wanawake tuachieni sisi tunaowaelewa na wao wanatuelewa tunakula vitu bila shida.
Kama wanawake huwaelewi achana nao, utakuja kujiua ama kuua mtu.
Daah sawa mkuu ndomana nimemwacha aendee nishachoka mkuuHawa wao wenyewe hawajui wanataka nini mzee!
Cha msingi usiwaweke sana moyoni, fanya kama ni watu wa muhimu kuwa nao lkn sio lazima kuwa nao.
Tafakari...usije kufa kabla ya siku zako kisa lijitu ambalo halikuhusika hata kumsaidia mama yako kushika mimba, wala halikuhusika na malezi yako toka ulipozaliwa.
Mkuu ivi unafahamau ni mangpa yanahtaji muda wangu okay. So ninge mpa huo muda quality na nisimpe hela nako ungesemaje maana huo muda wa kuitengeneza hiyo hela niwe Sina nmpe yeye sasa kama unavosemaMpenzi wako anahitaji quality time nawe
Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Hawa wao wenyewe hawajui wanataka nini mzee!
Cha msingi usiwaweke sana moyoni, fanya kama ni watu wa muhimu kuwa nao lkn sio lazima kuwa nao.
Tafakari...usije kufa kabla ya siku zako kisa lijitu ambalo halikuhusika hata kumsaidia mama yako kushika mimba, wala halikuhusika na malezi yako toka ulipozaliwa.
Naona mmeanza kuingiza mahitaji ya wazungu Tena,mambo ya quality time.Mpenzi wako anahitaji quality time nawe
Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.