Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,601
- 729,482
Operation ya kukagua na kukamata wageni wasio na vibali vya kufanya kazi na kuishi nchini leo imekumbwa na Changamoto eneo la kariakoo
Maofisa wa uhamiaji wakiwa katika zoezi hilo la ukaguzi walikutana na Mchina asiye na vibali (yeye mwenyewe anadai vibali vilikuwa nyumbani) kitu ambacho Ni kosa kutotembea na hati ya kusafiria au kibali husika
Huyu mwanadada akaombwa aondoke na maafisa mpaka kituoni, lakini badala ya kutii sheria bila shuruti akaanza fujo na katika kudhibitiwa akajifanya kapigwa na Maofisa, vurugu ilikuwa kubwa na harakaharaka wachina wenzie walimbeba na kumpeleka Agha Khan picha hizi hapa
na kwa spidi ya kushangaza habari na picha zikaenea kwenye mitandao ya kichina ukiwemo wa wechat, ubalozi wa China Tanzania, wizara ya mambo ya nje, chama cha wachina Tanzania, na hata shirika la habari la Xinhua(sijui hawa wataipa uzito gani hii habari)
Wnalalamika kuonewa na kunyanyaswa na idara ya uhamiaji Tanzania nknk
Najaribu kujiuliza kwani wachina ni nani katika nchi hii??? Wanaosafiri kwenda China wanaufahamu vema mziki wake kama ukikutwa mtaani huna passport, manyanyaso utakayopata hutakaa usahau
Hawa wadudu walizoea kubebwa sana enzi za utawaza uliopita, wakibebwa mno na viongozi wa serikali.... Leo sheria inachukua mkondo wanaona wanaonewa na kunyanyaswa.. Nasubiri kuona hatima ya jambo hili