Kwani vip?

what is amazing here!! Nyie wa wapi? Mimi nimesoma katika shule yenye almost asilimia 50 ya wanafunzi wana kaptula za aina hii, hadi mwalimu anawaruhusu wavae za nyumbani. Na hata hizo za nyumbani style yake ni hiyo hiyo. Shati ni kambakamba tu zimefungwafungwa. Halafu hao hao wanaoishi maisha hayo ndiyo huwaambii kitu kuhusu CCM. Tanzania ni nchi ya aina yake bwana. soma signature yangu.
 
na wasivyotawadha, mabaki ya nnya yatakuwa yanaonekana njenje hapo.
 
Apo akiachia ile kitu ya yuuu-suuu-fuuuuuuu!
Kama una kibiriti pembeni,ukarusha njiti katkat ya harufu!litalipuka bomu zaidi ya Sep11
 
Inawezekana si uamuzi wake isipokuwa ni "kiti tofali" cha shuleni ndicho kilichosababisha hivyo. HAKI ELIMU!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…