Hapa Dar ipo tayari clinic yenye kufanya kazi hiyo,ipo maeneo ya mikocheni karibu na Radio Clouds.
Kiserikali atuna clinic kama hii(yaani aipo iliyopo chini ya wizara ya afya)na hii ya mikocheni bado ni mpya so watu wengi bado awaijaijua sana
Inawezekana, tatizo lipo kwa serikali kuto kuwajali madaktari wetu. Hapa Tz yupo Prof. Kaisi ambaye ni mtaalam wa hiyo kitu, but serikali ikamtelekeza akaishia kupata Stroke. Saa hizi hana raha na profession yake, mara nyingi ukiwa naye katika mazungumzo yake atakusimulia magumu aliyokumbana nayo wakati akiwa kazini na hata baada ya kustaafu. Huyu mzee ndo baba Mzazi wa Mwanamuziki Shaa, anampongeza sana binti yake kwa kuchagua kuwa musician badala ya kuwa daktari kama yeye au kazi nyingine ya kitaaluma
Ni sawa kabisa ndio hiyo hiyo.Mie naionaga pale opposite na clouds fm. Siyo ya siku nyingi sana nafikiri hata mwaka bado. Bango lake liko nje na linajieleza. Ukitokea Mwenge unashuka na ile barabara ya kuelekea Cocacola
kuna taharifa zinasema wanawake 60 kwa mwaka wa kitanzania wanaenda kenya kupandikiziwa mbegu za kiume ili apate mtoto,je tanzania hatuwezi hiyo kazi?
Kwa nini kupandikiza bwana, sisi bado hatujafikia huko? Madhara yake tusije kuwa na mazezeta wengi! Sisi ni kutwanga tu, twanga kotekote bwana
Ukiona ameamua kupandikiza ujue njia zingine zimeshindikana, halafu atwange kote kote kivipi?