kibaWaKitaa
Member
- Apr 26, 2021
- 26
- 55
Kwani ye anasemaje
Madebe mkali sanaHuyu jamaa ni pasua kichwa sana.View attachment 1786421
Binafsi, bongo movie naweza kuangalia movie za wasanii wawili tu, Nabii Mswahili na Mkojani.
Sawa mkuuKama unajuana naye mpe ushauri huu;
Huyo character Mkojani kamuexploit sana kiasi kwamba sasa habebi uzito wa awali.
Afikirie zaidi script, story, continuity na mwisho wa story.
Arely zaidi kwenye humour kutoka kwenye convo kuliko mavazi na muonekano kwa ujumla.
Na uchawi pia.Jamaa mda wote ni masuala ya ngono tuu, na umahiri wa kutembea na wake za watu , na pia story ndeefu sana ,....
HuyuMkuu ni nani huyoo.. Simjui kabisa.
Picha tafadhali.
Mwanya kama wa Sis wangu
Haaapaaannaaa aah!Huyu jamaa ni pasua kichwa sana.View attachment 1786421
Binafsi, bongo movie naweza kuangalia movie za wasanii wawili tu, Nabii Mswahili (Madebe) na Mkojani. Wako vizuri sana kila mmoja kwenye field yake ya ku-act.