Nimebakia kuangalia avatar yako tu.....
unaona kanavyo yarudi...katoto kazuri eeh
unaona kanavyo yarudi...
unaona kanavyo yarudi...
halaf sijui ni kachawi_hiyo kaliyo vaa kiunoni ni nini?
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si kazaliwa na mama!!, kwani mtu unaweza kuzaliwa na mama peke yake!!, Halafu isitoshe Mama ni mama ila Baba anaweza asiwe Baba yako.
Anayedai fulani ni mtoto wa mama, inabidi afafanue kutujuza kuwa yeye siyo mtoto wa mama. Ina maana abba yake alilala na ng'ombe akamzaa yeye. Hata hivyo itabidi bado ataitwa mtoto wa mama japo amezaliwa na ng'ombe. Baba hawezi kuzaa bila mama, kadhalika mama hawezi kuzaa bila baba.
wanamaanisha wewe ni legelege.Nalog off
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si kazaliwa na mama!!, kwani mtu unaweza kuzaliwa na mama peke yake!!, Halafu isitoshe Mama ni mama ila Baba anaweza asiwe Baba yako.
tofauti kubwa tu Michelle,hasa kwa watoto wa kiume n you know ithata mimi sipendi,inaonekana ni dharau.kwani mtoto wa mama na wa baba tofauti yao ni nini?
nadhani mara nyingi hii ni kumaanisha kuwa wewe (mtu) ni anadeka kwa mama sana au analelewa baddo kama mtoto kwa hiyo huwa inajionyesha mara nyingi kwa maongezi yako najaribu kutafuta swahili fasaha niandike nashindwa
kwa hiyo na hiyo avatar yako inaonyesha unamawazo ya ki baby so unauliza nini, waonyeshe umekua mtu mzima achana na kudeka na kuact kitoto
badili avatar yako iwe ya kiutuuzima basi sio baby dancing ambavyo ndivyo ulivyo
ukweli unauma jibadilishe mama's baby