Kwani Mungu pia anashindwa na jambo?

Kwani Mungu pia anashindwa na jambo?

Deportivo la coruna

Senior Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
163
Reaction score
268
Naamini katika Mungu na Ukristo sana, lakini nakua na walakini pale ninapoona kama Mungu Kuna majambo anayashindwa au tuseme hajibu Kwa WAKATI.

Mfano Mimi Kuna kitu kinanitesa Cha kifamilia, ambacho hakiitaji Pesa Wala Hospital, kinahitaji Mkono wa Mungu Ili jambo Liwe sawa.

Jambo Hilo lapata miaka 20, tokea nikiwa mdogo nilivyoanza kujielewa, nimekua nikimuomba Mungu katika hili lakini Mpaka Leo hakuna majibu mambo ni yaleyale.

Sasa nawaza ni Mungu ameshindwa na nguvu za shetani au inakuaje, hapa ndio nakua nawaza wale wakina kiranga wanaosema hakuna Mungu nao wasipuuzwe wanakua na sababu zao.

Mpaka sasa hili suala nshalikatia tamaa maana nmelishtak Kwa Mungu takribani miaka 20 bila MAFANIKIO yoyote.

Hivi kweli Mungu yupo ? Au tunaaminishwa tuu
 
Naamini katika Mungu na Ukristo sana, lakini nakua na walakini pale ninapoona kama Mungu Kuna majambo anayashindwa au tuseme hajibu Kwa WAKATI.

Mfano Mimi Kuna kitu kinanitesa Cha kifamilia, ambacho hakiitaji Pesa Wala Hospital, kinahitaji Mkono wa Mungu Ili jambo Liwe sawa.

Jambo Hilo lapata miaka 20, tokea nikiwa mdogo nilivyoanza kujielewa, nimekupa nikimuomba Mungu katika hili lakini Mpaka Leo hakuna majibu ni mambo ni yaleyale.

Sasa nawaza ni Mungu ameshindwa na nguvu za shetani au inakuaje, hapa ndio nakua nawaza wale wakina kiranga wanaosema hakuna Mungu nao wasipuuzwe wanakua na sababu zao.

Mpaka hili suala nshalikatia tamaa maana nmelishtak Kwa Mungu takribani miaka 20 bila MAFANIKIO yoyote.

Hivi kweli Mungu yupo ? Au tunaaminishwa tuu
Umeshaweka 'doubts' kama kuna Mungu ama la. Maana yake, imani yako ni finyu san pamoja na kudai unamuamini Mungu na Ukristo.

Lakini pia, Mungu alitupa maarifa ya kutatua changamoto. Kuna mambo hupaswi kumshtakia Mungu, bali akuongoze tu katika njia ya kuitatua.

Imarisha imani yako lakini zaidi anza kutafuta namna ya kutatua tàtizo lako. Ungesema labda ni tatizo gani basi Watumishi humu ndani wangekushauri ni namna gani uliingilie jambo husika.
 
Acha imani haba hakuna linaloshindikana kwa Mungu yeye hujibu kwa wakati
 
Umeshaweka 'doubts' kama kuna Mungu ama la. Maana yake, imani yako ni finyu san pamoja na kudai unamuamini Mungu na Ukristo.

Lakini pia, Mungu alitupa maarifa ya kutatua changamoto. Kuna mambo hupaswi kumshtakia Mungu, bali akuongoze tu katika njia ya kuitatua.

Imarisha imani yako lakini zaidi anza kutafuta namna ya kutatua tàtizo lako. Ungesema labda ni tatizo gani basi Watumishi humu ndani wangekushauri ni namna gani uliingilie jambo husika.
Nmeshaweka NDIO, na nishaeleza kwanini nmeweka doubt
 
Mungu aliruhusu magugu na ngano vikue pamoja, shukuru Mungu kwa amekuwezesha kuifikia siku ya leo!
Bila hayo maombi uliyofanya kwa miaka 20 leo ungekuwa msukule unaishi huko mapangoni
 
Umeshaweka 'doubts' kama kuna Mungu ama la. Maana yake, imani yako ni finyu san pamoja na kudai unamuamini Mungu na Ukristo.

Lakini pia, Mungu alitupa maarifa ya kutatua changamoto. Kuna mambo hupaswi kumshtakia Mungu, bali akuongoze tu katika njia ya kuitatua.

Imarisha imani yako lakini zaidi anza kutafuta namna ya kutatua tàtizo lako. Ungesema labda ni tatizo gani basi Watumishi humu ndani wangekushauri ni namna gani uliingilie jambo husika.
Achukue huu ushauri aufanyie kazi utamsaidia
 
Jiambie hivi siku zote za maisha yako

" Mungu wangu, pale malengo yangu yasipotimia; naomba unikumbushe kuwa mipango yako ni mizuri sana kuliko matamanio yangu".

Hakika utafanikiwa tena sana.
Kwenye hilo ombi amalizie hivi "
Katika shida zetu tulimuita Bwana ,Naye akaitikia Bwana akiwa upande wetu ninani aliye juu yetu Bwana uwe nasi tena Ameeen"
 
Kwa Tanzania Mungu anaongea na mwamposa tu mkuu. Walalahoi inabidi tuongee na wale mitume 12 wa yesu
 
Back
Top Bottom