Kwani mradi wa DART umeishia wapi?

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Mana toka waziri mkuu atoe kauli kwamba tarehe 15 januari iwe ishaanza kufanya kazi lakini hadi leo haijaanza na hakuna kauli yoyote kutoka serikalini,magari tu yanabadilika rangi pale jangwani na kariakoo,tukisema serikali yetu ina mipango ya kitoto tunakosea.
 
Mradi utakuwa umefutiliwa mbali, napendekeza daladala za umma zitumie zile njia za mwendokasi ili kupunguza foleni
 
Mradi utakuwa umefutiliwa mbali, napendekeza daladala za umma zitumie zile njia za mwendokasi ili kupunguza foleni

Mradi wa DRT ni jipu kuu aina ya tambazi....Mtumbuaji bado ananoa zana za kutumbulia...nadhani ataanzia kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya UDA aliyejimilikisha milioni 300 za UDA kwa kisingizio gharama za kutoa 'ushauri'.
 
huu mradi umekufa baada ya kuleta magari yenye mlango ndivyo sivyo, inabidi yote yarudishwe kwa ajiri ya kulekebishwa
 
Hii nchi ya maigizo ukute hata jina la nchi sio Tanzania

Na kwamba hata tuliomo humu twaweza kuwa kama wana wa Israel😀🙁ila hatujui
 
Wakuu wa DART wako Mahakamani
 
Nchii hii kuna mradi wa serikali hata mmoja ambao kwa 100% umefanikiwa bila kuwa na harufu ya wizi na ufisadi.
 
Wengine wanasema uongo una tabia ya kupanda lift huku ukweli ukitumia ngazi.
Wajuzi zaidi wanasema 'the end justifies the mean'. Ukweli wa mambo ni kwamba pale pana ufisadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…