B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,131 Reaction score 10,841 Oct 19, 2018 #1 Ni vema asomewe dua na waliohusika na kumteka au kusaidia utekwaji wake wasomewe Albadiri.
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,920 Reaction score 4,216 Oct 19, 2018 #2 Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23]
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Oct 19, 2018 #3 bright platnumz said: Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Lisu ni mgalatia. Allah hana haraka kujibu kwa asiye mwanaye. Pale ni maombi tu yalipepekwa ila kazi ilianza kidogo, lakini hii ya sasa, wamemgusa mwanaye, nadhani majibu hayatachukua muda.
bright platnumz said: Wale wa tundu lisu nd kumaanisha dua yao bado aija mfikia sir God mmh ..maana ni mda iyo albadiri naisikia[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Lisu ni mgalatia. Allah hana haraka kujibu kwa asiye mwanaye. Pale ni maombi tu yalipepekwa ila kazi ilianza kidogo, lakini hii ya sasa, wamemgusa mwanaye, nadhani majibu hayatachukua muda.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,050 Reaction score 61,375 Oct 19, 2018 #4 Mungu hapendi alibadir ni Kama shirki
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,872 Reaction score 8,289 Oct 19, 2018 #5 dr. Shika where are you