Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,321
- 144,748
- Thread starter
- #181
OkayKwangu kushiriki uchaguz ni fursa isiopaswa kuachwa kwa sababu
[emoji3577]Tumekagua uhai wa chama to the grassroots
[emoji3577]Wamemuonesha mtawala vile hakubaliki.
[emoji3577]Wamefungua ufaham wa watu wengi zaid n kuongeza wanachama.
[emoji3577]Wamejenga Imani zaidi kwa watu.
[emoji3577]Wamesikiliza kero za watu.
Mwisho huwez msusia fisi bucha
Endeleeni tu kushiriki lakini mjue kamwe hamtoshinda chochote cha maana kama hakuna kitachobadilika.