Inategemea na mtu@watu8, wanawake walio wengi, sio wote lakini; wanaohamia Marekani huwa wanabadilika sana kuwazidi mpaka wazawa...
Haswa , very much know most of them but they are bogus. Kingine too much fake, fake. Wengi wao Wanajaribu kukocopy maisha ya wenyewe Wa nchi ili wewe sawa Aaaaahhhhaaaaaaa , seriously nimewaona wadada wengi watokao nnje za nchi si tuu US every where , if you want to be failure in your life when you go abroad waendekeze wadada Wa aina hii or wakaka. Wingine wanataja mpaka mwanaume Wa kuwa nae, eti awe mrefu kama mchezaji kikapu, mweupe or light skin, awe na professional job kama ya yule kaka, awe anaendesha range rover , or mnyama kama ule pale, amemaliza chuo kinacho make sense, aka Harvard, or Oxford , sitaki mnene or mfupi Nataka six packs yaani too much headache. Hebu niambie Kweli mume atakuja Kweli ? And I'm sorry my people lakini haya nimeshayaona kabisa kwa macho yangu, sijahadisiwa na MTU . Remember sio wanawake wote .So awe muangalifu sana huyo Rafiki yako . Thanks.