LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,301
Hii inamuhusu rafiki yangu. Its like this, ana mchumba wake wa muda mrefu (3 years now). Jamaa kapata mchongo, anahamia Marekani, anaondoka November. Mchumba wake anamsisitiza waondoke wote. Jamaa anamwambia anaenda kuweka kwanza mambo sawa, mambo yakiwa vizuri atamtumia tiketi, ingawa jamaa anasema hana mpango wa kurudi bongo achilia mbali wa kuwa na huyo mchumba wake...
Washikaji tukamwambia huyo si ndio mwanamke wako kaka, kwanini usiende naye tu kama nafasi inaruhusu. He is like " KWANI HUKO NINAKO ENDA HAKUNA WANAWAKE WENGINE?". Jamaa anasema moja kati ya sababu zinazo mfanya aende Marekani ni pamoja na kumkimbia huyo mwanamke na familia yake.