Aisee hao mhari najua utamkimbia biharusi mtarajiwaSubiri tuwaite Shy land na Tarime one watueleze wasukuma na wakurya huwanga wanafanyaje?
Kuna wazee wana masharti afadhali hao mkuuKwa upande wa Kiislamu ni suala la maridhiano tena hayatakiwi yawe ya gharama ,kuna jamaa alikwenda kuwowa ,akapigwa milioni nane ,jamaa alikuwa na noti ,akatoa harusi ikafanywa watu wakachawanyika ,sasa kisa ambacho ni true story wazee wa kike wakapanga safari kwenda kumuona mtoto wao ,w
1. Ng'ombe wanne, angslau wawili wanaotembea, wawili wanathaminishwa na unatoa cash.
2. Kitenge cha mama na bibi.
3. Blankets mbili, moja ya wazazi na nyingine babu na bibi.
4. Debe moja la pombe, kwa wale wasiotumia kilevi basi debe la sukari inasimama badala ya pombe.
5. Kondoo/mbuzi.
Japo siku hizi wanarahisisha kidogo...kila kitu wana round off Tu..mfano unaweza kuambiwa yote hayo lete 2,000,000tsh.
Subiri tuwaite Shy land na Tarime one watueleze wasukuma na wakurya huwanga wanafanyaje?
Dah hiyo posa tu hapo bado harusi si kuuana hukoUsiombe uoe uchagani au umasaini...utajuta kuzaliwa
Kwa gharama ya maisha haya ya sasa hivi ukioa mchaga wa mjini jiandae kutokwa na kitita kama cha milioni 3 kwenda juu...
Dah hiyo posa tu hapo bado harusi si kuuana huko
Aiseee tutaishia kuwazalisha tuu, maana hawafikirii maisha ya wahusika baada ya sherehe wanataka kujinufaisha nafsi zao kupitia kwa wanaoNdio hivyo mkuu,
Mathalani kwa mila za uchagani, mwanaume anayeoa anagharimikia mahari pamoja na sherehe ndogo ya siku mahari inapokabidhiwa kwa wazazi wa binti...
Na wachaga wanavyopenda sherehe basi jiandae kulisha na kunywesha watu si chini ya 100...
Hii kitu inaumiza we acha tu. Wanapiga hesabu ya msosi sahani sh. 20,000. Bia minimum 3 * 100, maji kilimanjaro, juice..dah!! Acha kabisa..! Ukitoka hapo hata sherehe huiwezi tena...na ukianza maisha ya ndoa mifuko imetoboka kabisa.Ndio hivyo mkuu,
Mathalani kwa mila za uchagani, mwanaume anayeoa anagharimikia mahari pamoja na sherehe ndogo ya siku mahari inapokabidhiwa kwa wazazi wa binti...
Na wachaga wanavyopenda sherehe basi jiandae kulisha na kunywesha watu si chini ya 100...
kwani we hujui kabila lenu mahari kiasi gani?
Usiombe uoe uchagani au umasaini...utajuta kuzaliwa
Kwa gharama ya maisha haya ya sasa hivi ukioa mchaga wa mjini jiandae kutokwa na kitita kama cha milioni 3 kwenda juu...
Posa hua tofaut na mahari. Posa ni kias kidogo.cha hela.ambacho hukiambatanisha na barua yako.kwenda kwa familia ya mke. Mahar inategemea sana kwetu hatuna mbwembwe yategemea na.mtu atataka nin ila kuna mkaja wa mama huu ndo mahela yote. Na mahari unaweza ukaelewana na.umuoae kua mim ntakua suala la mahar litakua deni au ntatoa nusu mahar yako nyingine ntakumaliza taratibu hapo anakua ashaingia jukum yy na mola wake akikutizimia sawa hakutimiza.deni hilo tena....