unategemea nini toka kwa mtu asiyejiamini, aliyechoka baada ya kushindwa kutimiza ahadi hewa?
Yule bwana (Lowasa) alimuuliza Kikwete, 'mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu?' Kikwete, taarifa zinasema, alimhakikishia Lowasa kuwa 'hakuna lolote litakalotokea!'
mwanahaliisi-toleo 240, mei, 2011