Kwani kosa lake nini?

Hiyo namba hapo juu ni moja au nini?? Mbona pua ndefu sana
 
Kakosa hesabu lkn inaonekana na mwalimu ni kam,a hana uhakika
 
Hahahahaaaa nimecheka sn peke yng humu ndani.Daa jf!!!!!
 
Hiyo sifuri kuiweka mbele ya moja badala iwe chini ya moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…