kwani huwa chungu?

kwani huwa chungu?

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
Jamani ati kweli mwanaume anataka kujua kama chungu au tamu. Swali kwani huwa chungu mbona inatisha hiii nitaogopa kuolewa.
 
Sisi tutajuaje kama ni chungu au tamu?
muonjeshe halafu atupe feedback ndo tutajua!!!!!!!!!
 
Jamani ati kweli mwanaume anataka kujua kama chungu au tamu. Swali kwani huwa chungu mbona inatisha hiii nitaogopa kuolewa.
wala usiogope kuolewa kwa hilo dada langu. Labda kauli zenu tu ndio chungu, lakini asilimia 99.99 ya nyie ni watamu, asikuambie mtu.
 
Jamani ati kweli mwanaume anataka kujua kama chungu au tamu. Swali kwani huwa chungu mbona inatisha hiii nitaogopa kuolewa.

Inategemea na mtumiaji na kama umeshakula vya watu basi ujue umeshalikoroga na utalinywa tu, liwe tamu au chungu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani ati kweli mwanaume anataka kujua kama chungu au tamu. Swali kwani huwa chungu mbona inatisha hiii nitaogopa kuolewa.

bibie kama sio kitu kinakuwasha, basi kuna unachokiwasha!
Si chungu,mwaya wala tamu..its testless...
 
Back
Top Bottom