Huyu mwanamme ana matatizo ya akili..kuna mmoja huwa anafagia uwanja wakati anatoka na kuondoa alama za miguu akirudi jioni na kukuta kuna miguu imepita itabidi wife atoe maelezo
Dah! Hii kali sana, lakini tujiulize kwanini huyu mwanaume anafanya haya? Ameanza tu from nowhere? au kuna sababu?4.Kuna siku mwanaume anaaga anatoka baadae anarudi kwa kujificha halafu anajificha chini ya uvungu aone kama mkewe ataingiza mwanaume ndani.Baadae mwanamke anashangaa mwanaume anaibukia chini ya uvungu.
Sasa hapa anafanyaje jamani, anaingiza vidole gani? Na yeye anaamini hiki ni kipimo sahihi? Huyu mwanaume chizi kweli1.Mwanaume akiondoka asubuhi anamuingiza vidole sehemu za siri ana mwambia hapa nimeacha hivi ole wako jioni nikirudi niikute tofauti.
Kwa maana hiyo huyu mwanamke haogi mpaka mumewe harudi na huyu mwanamke hafanyi kazi ambayo inabadilisha harufu ya mwili wake kwa mfano kumpa joto? Mambo mengine tufikirie kama ni taarifa sahihi au ni kudanganyana tu hapa6.Akitoka akirudi mume anamnusa mwili mzima kama anaharufu ya tofauti.
hii kupigwa mpaka basi nayo imekaaje wajameni, inaingia kichwani? Manake huyu hana ndugu, wasimamizi wa harusi, wazazi, majirani? Manake kupigwa sana si jambo linalojificha7.Anapigwa mpaka basi.
Dah! Hii kali sana, lakini tujiulize kwanini huyu mwanaume anafanya haya? Ameanza tu from nowhere? au kuna sababu?
Dah! Hii kali sana, lakini tujiulize kwanini huyu mwanaume anafanya haya? Ameanza tu from nowhere? au kuna sababu?
Na mimi naamini ndio njia pekee ya kuwasaidia wanawake wanaonyanyaswa na waume zao ni kwa kutambua tabia za waume zao na kutafuta mbinu za kuzirekebishaa lakini kushutumu na kutanga divorce it wont helpJamani nadhani apatikane huyo mume ajieleze;
Ni kweli hakuna lakini tukiishia kushutumu na kulaani tutamsaidia huyu mwanamama? Basi tutafute source kwa mtoa mada ambaye alishamshauri huyo mwanamama hapo kabla kwenda kuongea na huyo mwanamume kwani i hope mtoa mada atakuwa mwanasaikolojia/mwanadini/mwanaustawi wa jamii na ndiyo maana huyo mwanamama akaenda hapo kutafuta usaidiziKuna sababu inayoweza kujustify ukatili wa kiasi hiki?