Kwani Hapo Chini Kuna Nini!!!????

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
3.jpg
Jamani hawa ni wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia "DUA" ya SSC, haikufahamika mara moja kwa nini walikua BIZE sana kupiga kwa staili hiyo, je huend SSC walivaa Viatu vipya??? au hapo chini kulikuwa na kitu gani?
 
Kwa waandishi wetu inawezekana ilianguka karatasi ya list wakadhani ni ndumba
 
Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana by Mbea sana (JF Celeb's)
 
Huyu mwenye tshrt ya orange ni Yanga Damu, hapo umbea tu ndio ulishadadia
 
Alafu uwanjaa ulikuwa umefura watu lakini usishangae ukaambiwa mapato ni sh milion 4 .
 
Kuna watu wanakopa wakiahidi kulipa baada ya mechi kama hizi.................
 
View attachment 48718
Jamani hawa ni wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia "DUA" ya SSC, haikufahamika mara moja kwa nini walikua BIZE sana kupiga kwa staili hiyo, je huend SSC walivaa Viatu vipya??? au hapo chini kulikuwa na kitu gani?

Ama kweli tuko tofauti, hivi wapiga picha wanachukua picha ya walipokanyaga hao wachezaji au wamebonyea ili kupata nyuso za wachezaji? Ukiangalia uelekeo wa camera (hiyo mi-zoom) zile mbili na kichwa cha yule wa kwanza unapata swali sahihi na jibu lake pia kuwa sahihi!!!
 
mambo yakuiga wamemuona mpiga picha mmoja kainama na wenzake wakafuata....
alio pasi katika hii picha aliowapiga picha hao wapiga picha...
 
labda walikuwa wanapiga picha miguu. huyo aliyevaa njano nimependa style yake ya kukaa.
 
Ndugu,

Waomba dua walikuwa wameangalia chini. Wapiga picha wanatafuta nyuso zao kutokea chini. Kweli Amavubi, kuanzia sasa sishabikii hawa jamaa
 
Mpigapicha wa pili kutoka kushoto(mwenye begi mgongoni) mkao alivyokaa unaitwaje vile?
 
Back
Top Bottom