Kwani hamuwezi kuoa kimya kimya hadi msumbue watu michango?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
989
3,335
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 zishavunjika ndani ya muda mfupi tu hivi simuoe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu.

Basi mkioana msiachane ili mtupe moyo think unamchangia mtu laki moja halafu baada ya mwaka unaskia kashaacha mke jamani jamani jamani
 
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 Zishavunjika ndani ya mda mfupi tu hivi simuowe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu

Basi mkiowana msichane ili mtupe moyo think unamchangia mtu laki moja alafu baada ya mwaka unaskia kashaacha mke jamani jamani jamani
Ugusa kwenye mshona. Hiyo tamaduni ya kuchagisha watu kwaajiri ya arushmi ni upumbavu wa kiwango cha rami
 
Utapeli wa ndoa umevuka wigo na mipaka ya kitapeli. Huu ni utapeli ULIOTOPEA na KUTARADAAD.

Yaani nichange hela mie halafu watu wakajichane na kujinsonsomola minyama kwenye harusi ya kifahari na kufungua mashampeni kwa madoido!

Ufahari usiokuwa na tija wala umuhimu. Madoido tu ya kijinga.

Ndoa ni mkekani, unaita shehe na mashahidi wawili kwishaaa!

Au unaenda kwa mkuu wa wilaya mnafanya mambo chap chap mnarudi nyumbani kula uroda.

Ufahari wa nini! Ati bibi harusi atembezwe kwenye HUMMER! khaa 😕

Cc Lamomy Wakili msomi Nyani Ngabu DR Mambo Jambo dronedrake mshamba_hachekwi Extrovert Poor Brain
 
😂 so umenuna mchangiaji..? utakoma we nuna tu si tunataka mchango wako!
 
Nitakuchangia kiasi ninachotaka iwe buku au 5000,sio unaniletea mkadi umeandikwa hadi kiasi cha kutoa utafikiri nalipa ada ya shule, NAKUZINGUA.

Utakapokuwa unapanua mapaja na kupeana utamu mimi sitokuwepo.
 
Kuna waunda na group la WhatsApp wana-add washenzi Sana sikuzote na left hata sichukui dakika. Moja
 
Utapeli wa ndoa umevuka wigo na mipaka ya kitapeli. Huu ni utapeli ULIOTOPEA na KUTARADAAD.

Yaani nichange hela mie halafu watu wakajichane na kujinsonsomola minyama kwenye harusi ya kifahari na kufungua mashampeni kwa madoido!

Ufahari usiokuwa na tija wala umuhimu. Madoido tu ya kijinga.

Ndoa ni mkekani, unaita shehe na mashahidi wawili kwishaaa!

Au unaenda kwa mkuu wa wilaya mnafanya mambo chap chap mnarudi nyumbani kula uroda.

Ufahari wa nini! Ati bibi harusi atembezwe kwenye HUMMER! khaa 😕

Cc Lamomy Wakili msomi Nyani Ngabu DR Mambo Jambo dronedrake mshamba_hachekwi Extrovert Poor Brain
NAKAZIA
 
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 zishavunjika ndani ya muda mfupi tu hivi simuoe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu.

Basi mkioana msiachane ili mtupe moyo think unamchangia mtu laki moja halafu baada ya mwaka unaskia kashaacha mke jamani jamani jamani
Huwa nakereka sana ila basi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom