Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Nipe basi na Mimi πHizo wala sio hasira za karibu, kinachokusumbua ni ujinga. Anza kufuta ujinga.
lalaMmnh
Niko nasubiri mtoto wa mtu aniambie good night πππ, nadhani nitakeshalala
yeye anakusubiri? mbuzi unajipeleka machinjoniπ€£Niko nasubiri mtoto wa mtu aniambie good night πππ, nadhani nitakesha
Yeye mwenyewe kanimbia nisilale atanipigia lakini.. Au alinidanganyaπ°π°π§π€yeye anakusubiri? mbuzi unajipeleka machinjoniπ€£
endeleeni tu nisije nikaharibu penzi lenuπYeye mwenyewe kanimbia nisilale atanipigia lakini.. Au alinidanganyaπ°π°π§π€
Naona call yake ndo inaingia hapa saizi ππ.. Ngoja nijivutevute nizuge nilipitiwa na usingiziπ€π€endeleeni tu nisije nikaharibu penzi lenuπ
DuuuhAngalia tena, bado hujaona.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi, kuna wanaume wadangaji?! [emoji85]
π€£π€£π€£π€£π€£Naona call yake ndo inaingia hapa saizi ππ.. Ngoja nijivutevute nizuge nilipitiwa na usingiziπ€π€
HakikaHizo wala sio hasira za karibu, kinachokusumbua ni ujinga. Anza kufuta ujinga.
Umepita hadi huku mkuu πππ€£π€£π€£π€£π€£