Weekend moviesHabar wadau
Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu ajabu tu ikifike mahala muache ushamba nimechek movie ya extractiom mambo yaliyonishangaza ktk movie iyo
Kwanza camera haikat hii ina maana haikuungwaungwa sn
Pili video inaonekana ni halisi mambo ya animation hayakutumika sn na wala hamna michoro au computer graphics zilizohusika lkn mkong'oto humo ni heavy mtu anapigwa kibano mpaka anatafuta pa kutokea
Tatu actions zilichukua muda mrefu yaan unakuta dk 20 ni vurugu tu camera ipo constant mtu anapanda gar camera ipo anaendesha gar camera ipo anapanda gorofa camera ipo nataka nitafute behind the scene nione ilikuwaje yaan video inaonekana ipo mtaan kabisa duh apa waigizaji muende shule na wale waigozaji mliozoea kuunga unga km huna mazoez kwenye movoe km hz lazima uumbuke
Nawasilisha
Chek io kitu baba achana na ujinga wa marvelWeekend movies
Chek io kitu baba achana na ujinga wa marvel
Tatizo wamezidisha kuchora mpaka wanaboaMarvel ni usemgerema
Bado najiuliza waliwezaje kuandaa actions mda mrefu bila kuungaunga videoBonge la movies.. sichokag iiangalia
movie ni kali check na hiziHabar wadau
Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu ajabu tu ikifike mahala muache ushamba nimechek movie ya extractiom mambo yaliyonishangaza ktk movie iyo
Kwanza camera haikat hii ina maana haikuungwaungwa sn
Pili video inaonekana ni halisi mambo ya animation hayakutumika sn na wala hamna michoro au computer graphics zilizohusika lkn mkong'oto humo ni heavy mtu anapigwa kibano mpaka anatafuta pa kutokea
Tatu actions zilichukua muda mrefu yaan unakuta dk 20 ni vurugu tu camera ipo constant mtu anapanda gar camera ipo anaendesha gar camera ipo anapanda gorofa camera ipo nataka nitafute behind the scene nione ilikuwaje yaan video inaonekana ipo mtaan kabisa duh apa waigizaji muende shule na wale waigozaji mliozoea kuunga unga km huna mazoez kwenye movoe km hz lazima uumbuke
Nawasilisha
bora uongo wa namna hiyo kuliko uongo wa mtu eti anagusanisha mikono kisha inatoka miali ya moto na kuteketeza kikosi kizima yaani mtu anashika kamba mfano wa mnyororo wenye moto nakuanza kupigana na kikosi kizima utopolo tuExtraction si ile movie jamaa mmoja anaua kikosi kizima...?? Sasa mkuu huon huo pia ni uongoo? Yan mtu akaua kundi kubwa kama lile yuko pekeake [emoji3][emoji3][emoji3]
Angalau it is possible na ukiangalia doz anayotoa mule si haba ila wonderwoman mtu anapaa na bomuExtraction si ile movie jamaa mmoja anaua kikosi kizima...?? Sasa mkuu huon huo pia ni uongoo? Yan mtu akaua kundi kubwa kama lile yuko pekeake [emoji3][emoji3][emoji3]
Marvel wamekosa washaur ile kamba wamekosea kuwa ya mionz bora ata ingekuwa kawaida alafu mtu anapaa na bomu rocket how is this possible ni pumba tupu afu kwenye movie bora yenyewe ndio namba 1 hawa marvel wamechokabora uongo wa namna hiyo kuliko uongo wa mtu eti anagusanisha mikono kisha inatoka miali ya moto na kuteketeza kikosi kizima yaani mtu anashika kamba mfano wa mnyororo wenye moto nakuanza kupigana na kikosi kizima utopolo tu
Marvel wamekosa washaur ile kamba wamekosea kuwa ya mionz bora ata ingekuwa kawaida alafu mtu anapaa na bomu rocket how is this possible ni pumba tupu afu kwenye movie bora yenyewe ndio namba 1 hawa marvel wamechoka
hahahah da'vinc unasemaje hapa?Ndio maana zile ni movie za watoto wa english medium.