Kwangu mimi Putin ndiye mshindi wa vita kati yake na Ukraine

Jibu swali hili kwanza, hivi kwa uelewa wako mdogo ni halali nchi moja kuivamia nchi nyingine kama alivyofanya dictator Putting?
IMG_20221201_121503.jpg
 
Ukraine kakiri kavunja mkataba Wa misk ambao unataka wasishambulie.maeneo kama Donbas lakini tangu 2014 wamekuws wakifanya hivyo.pia NATO expansion ambapo Russia aliingia mkataba na NATO kwamba wasiexpand kuelekea kwao.ukraine wakawakaribisha NATO ikabidi Russia aende kuzuia Ukraine kuingia NATO kumbuka we are all equal but some people are more equal than others.
Ubarikiwe sana kwa kutuongezea chakula ya ubongo
 
Katika hali ya kawaida kabisa ya kibinadamu popote pale duniani, Ukipigwa, Ukichokozwa au kudhulumiwa haki yako huwa unapaswa kujitetea. Usipojitetea watu husema umekubaliana na jambo hilo au umelitengeneza jambo hilo ww kwa maslahi binafsi. Februari 2022, Putin alipeleka majeshi yake na kuivamia nchi huru ya Ukraine na kujitwalia kwa nguvu(Aliivamia)maeneo/ardhi ya nchi hiyo ya Ukraine na kutangaza kuwa ni sehemu ya nchi ya Urusi. Je, ni halali Ukraine ajitetee au akae kimya? Akikaa kimya mbona Wananchi wake si watasema ameuza ardhi ya nchi yao kwa Mrusi? Sasa anajitetea halafu wanakuja watu kuanza kuleta longolongo:
1. Rais wa Ukrane inabidi awaombe radhi wananchi wa nchi yake kwani ukibaraka wake umeumiza sana familia nchini humo.
Badala ya kusema wananchi wa Ukraine wanatakiwa wasimame kidedea nyuma ya Rais wao kuitetea na kuirejesha ardhi yao iliyokwapuliwa na Mrusi.
2. Viongozi kama huyu Rais wa Ukrane wanaligharimu taifa kisa ukuwadi wa wakubwa.
Badala ya kusema kwamba viongozi kama huyu Rais wa Ukraine wanaonesha uzalendo wa hali ya juu kulitetea Taifa lake kwa gharama yoyote ile.
"Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe".
Boss nimekuelewa na mchango wako unaheshimiwa
 
Ukraine kakiri kavunja mkataba Wa misk ambao unataka wasishambulie.maeneo kama Donbas lakini tangu 2014 wamekuws wakifanya hivyo.pia NATO expansion ambapo Russia aliingia mkataba na NATO kwamba wasiexpand kuelekea kwao.ukraine wakawakaribisha NATO ikabidi Russia aende kuzuia Ukraine kuingia NATO kumbuka we are all equal but some people are more equal than others.
Wajinga wengi wanajishughulisha na matokeo badala ya chanzo.
Nadhan ni tatizo la kutojua geopolitics za mbele.
Russia was squeezed to the wall and retariated vigorously!
Marekan na vibaraka wake oxygen yao ni vurugu, vita na migogoro!
Kuna hotuba ya juzi ya waziri wa nje wa china amemchana marekan na uibilis wake.
Ndio maana naiombea sana russia na brics wamdhibiti huyu kibaka lunkunku, marekan.
Unipolarism ni udhalilishaji na umwamba wa kinyampara.
 
Tupo wengi sana tunamuombea dua njema Putin ashinde hii battle
 
Ukraine kakiri kavunja mkataba Wa misk ambao unataka wasishambulie.maeneo kama Donbas lakini tangu 2014 wamekuws wakifanya hivyo.pia NATO expansion ambapo Russia aliingia mkataba na NATO kwamba wasiexpand kuelekea kwao.ukraine wakawakaribisha NATO ikabidi Russia aende kuzuia Ukraine kuingia NATO kumbuka we are all equal but some people are more equal than others.
Latvia amejiunga NATO na hajafanywa kitu. Na huo unaosema mkataba wa kutojiunga NATO ni mkataba au uliishia kwenye makubaliaono ya awali(MOU)?
 
Umefanya la maana kukaribisha wadau wenye uelewa wewe mwenyewe huna uelewa wowote juu ya hiyo vita.

Putin ni mmuaji kama wauaji wengine wanaoshika madaraka, kina Mussolini, Hitler na wengine wa aina hiyo.

Kusema kuwa rais wa Ukraine ni kibaraka ni sababu tu ya Russia kufanya uvamizi.
Mkuu mbona umesahau kuwaorothesha na wale maraisi na nchi zao wanaosababisha vurugu duniani USA, UK,France, na ndugu zao wengine
 
Mtoa mada unachekesha! Unamuunga mkono Putin huku unamponda Mwendazake wakati hawa watu wawili wanafanana aina yao ya uongozi.
 
Back
Top Bottom