david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Bei zako zikoje. Nina kiwanja cha 25 kwa 15, kipi kwenye kona. Nataka mchoro utakao include frames za vyumba vya biashara
View attachment 141178
Kwa ushauri tu tujaribu kubuni michoro ya kiswahili kwa mazingira ya waswahili badala ya kuendelea kuiga hii ya kizungu. Eneo kubwa la nyumba kuzungukwa na sakafu ya vigae na kupandwa nyasi kazi ambayo ni kufyekelea nyasi kila kukicha kwa ajili ya uzuri bila mlo kwa gharama kubwa.
Kwa nini kusiwe na ubunifu wa bustani kando ya nyumba hizi kama kuna mwembe, mchungwa, mpera, mpapai, m-ananasi, tuta la mchicha, tuta la matosani, nk. Hivi ukimwagilia na kupalilia utachumia tumboni, lakini hili la kushinda una-mow grass kila kukicha na kukimbilia sokoni na kapu kwa kupata mchicha niko mbali kidogo.
Ningefurani katika ramani hiyo kungekuwa na plan ya banda la kuku wa nyama au mayai, na mbogamboga zinazolimwa ndani ya nyumba hiyo zisizofaa wanatupiwa kuku kwani hakutakuwa na upotevu wakati kuku hao hutoa pia samadi kwa bustani ya nyumba.
ni ushauri mzuri sana lakini si dhani kama watanzania wengi wanahitaji kufuga kuku au kulima mchicha na wht he showed si final drawings kama m2 unahitaji banda la kuku unamwambia anakuwekea nimeona nyumba nyingi dar wanaweka parking 2na hawaitaji bustan za mchicha watakwambia bustani za hoho zipo ruvuView attachment 141178
Kwa ushauri tu tujaribu kubuni michoro ya kiswahili kwa mazingira ya waswahili badala ya kuendelea kuiga hii ya kizungu. Eneo kubwa la nyumba kuzungukwa na sakafu ya vigae na kupandwa nyasi kazi ambayo ni kufyekelea nyasi kila kukicha kwa ajili ya uzuri bila mlo kwa gharama kubwa.
Kwa nini kusiwe na ubunifu wa bustani kando ya nyumba hizi kama kuna mwembe, mchungwa, mpera, mpapai, m-ananasi, tuta la mchicha, tuta la matosani, nk. Hivi ukimwagilia na kupalilia utachumia tumboni, lakini hili la kushinda una-mow grass kila kukicha na kukimbilia sokoni na kapu kwa kupata mchicha niko mbali kidogo.
Ningefurani katika ramani hiyo kungekuwa na plan ya banda la kuku wa nyama au mayai, na mbogamboga zinazolimwa ndani ya nyumba hiyo zisizofaa wanatupiwa kuku kwani hakutakuwa na upotevu wakati kuku hao hutoa pia samadi kwa bustani ya nyumba.
ni ushauri mzuri sana lakini si dhani kama watanzania wengi wanahitaji kufuga kuku au kulima mchicha na wht he showed si final drawings kama m2 unahitaji banda la kuku unamwambia anakuwekea nimeona nyumba nyingi dar wanaweka parking 2na hawaitaji bustan za mchicha watakwambia bustani za hoho zipo ruvu
View attachment 141178
Kwa ushauri tu tujaribu kubuni michoro ya kiswahili kwa mazingira ya waswahili badala ya kuendelea kuiga
hii ya kizungu. Eneo kubwa la nyumba kuzungukwa na sakafu ya vigae na kupandwa nyasi kazi ambayo ni kufyekelea nyasi kila kukicha kwa ajili ya uzuri bila mlo kwa gharama kubwa.