Kwamba hii ndio maana halisi ya state sovereignty?

Kwamba hii ndio maana halisi ya state sovereignty?

NIPOSINGO

Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
11
Reaction score
39
Katika picha hii, nimependa namna ambavyo kila nchi imeheshimu uhuru wa kujitawala wa mwenzake bila kuathiri mahusiano yao ya kidiplomasia

7a8c1ee5-9f98-4387-826d-a2ef74254b23.jpg
 
Tanzania ndio imetangazwa siku Tano za maombolezo, na kuagiza bendera zipeper nusu mlingoti nchini na kwenye Balozi zake duniani kote.

Sasa endapo China wao Wana namna nyingine kwanini waingiliwe?
 
Back
Top Bottom