Kwakweli najiona kama napotea

wewe inaelekea ni mlevi kunizidi mimi..

cha msingi pombe usiache..ila uwe busy na shuguli zako za kukuingizia kipato,
focus tafuta mwanamke mwenye malengo muwe mnafanya vitu endelevu...
nilipitia huko kama wewe ila sikufikia stage ya kuweza kunywa kama wewe..mimi k vant kubwa sitoboi lazma nizime

ila nikaamua sasa niwe na malengo, nashukuru mchumba nilipata mwenye malengo makubwa tunafanya vitu kwa target ..
unakuta mda wa kukaa kuwaza pombe unapungua..

la mwisho punguza kuwatafuta marafiki vishawishi..jiweke mwasiliane poa ila wao ndo wakufwate usiwafwate wewe...(mda mwingi wanakuwa bar ukiwafwata wewe kesi,wewe ukibadilika utakuwa nyumbani au kwenye shuguli zako , kukufwata wewe nao wataona kesi,)
 
Kuamua kuacha Pombe kuna Hatua nyingi.

Usipofuatilia utabaki kupumzika siku mbili alaf ukirud unarud na spidi mara mbili ya hiyo.

Sio Jambo rahisi. Ingawa linawezekana ukijua hizo hatua.

Alaf kwanini unaaacha?,
Chaaa! Bia tamu Meku

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Get busy fanya sana kazi hadi uchoke afu pitiliza nyumbani kulala iwe routine yako kwa siku 7 za mwanzo kisha repeat. Mwenyewe nakushauri uache pombe ila mm wala sina mpango wa kuacha sema saizi nakunywa atleast mara 3 kwa week, kuacha kabisa nimeshindwa.

Kwahiyo hapa unamshauri sio kuacha, ila apunguze.
Anywe bia kwa wastani , na awe na ratiba.
Aache kampan za ajabu.

Mm nina rafik zangu watatu tu wa bia na mara nying nakunywa mwenyewe.
niliacha kukaa na kampan za walevi baada ya kugundua walevi wengi wanatumia hela nyingi kuweka heshima bar alaf nyumban kwao maisha ya Hovyo.

Nikaona huu uduanzi,. Mm siwez kuwa kama wao.

Na bia ndio inanifanya nikazane kufanya kazi , nikijua jion nitarelax, nitakunywa Bia zangu 4, nitaenda Home kula na kulala kwa aman kabisa. Na chenji inabaki na maendelea nayaona.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bro nliambiwa ili mtu aache pombe ushauri hautoshi mpk skumoja anyweeeeeeeee alafu zile pombe zmfnyie jambo baya either afnye fujo au afanye Jambo la aibu kwa jamiii afu akija kjielewa wkmwambia umefnya moja mbili tatu aaape kwenye nafc yake kwamba kma kweli n pombe ndo zmfnya nmkua hvi kutoka moyoni kuanzia "leo" mm bac.

Bro Wang alkua mlevi wa kupndkia wlishauri Sana na ktumia madawa mbalimbali, but still alkua hbadiliki mpk mke wake akakta tamaa kukaa nae.

But kuna sku mama mkwe kaja pale kusalimia jmaa hajui kapiga maji yake kaja pale om full vituko anavua nguo anbak na boxer anaaza kucheza mama mkwe akaondoka analia by the way nlkuepo.

Kwaio kesho yake mm ndo nlkua wa kwanza kmuelza ujinga wke na matus juu japo knzd mam mkwe alkuepo na nn akalia sana afu akaapa Kama kweli n pombe zmenfnya hvi kuanzia leo mm bc mpk kesho hta grand Malta hatumii.

So pombe kmshaur mtuu aache n ngumu muombe mungu akupe bonge la tukio afu utaacha mwenyewe.
 
Mkuu endelea kunywa tu kuna wakati wake ukifika utaacha tu bila kutumia nguvu ila cha kwanza tambua ni vitu gani vinakusukuma unywe pombe...je ni upweke? Hasira? Marafiki? Au kazi/mazingira ya pombe mfano kiwanda cha bia au bar
 
Mwisho kabisa kuacha addiction zote njia ni moja tu Imani katika Mungu wako...omba na badili mtindo wako wa maisha,Mungu hajakusudia binadamu ateseke ila ni upumbavu wetu tu mrudie yeye atakurudisha kwenye reli mimi ni shahidi kwa hilo nimeacha addiction zote kwa hii njia.

MUNGU NI MWEMA SIKUZOTE.
 
Kwahiyo hapa unamshauri sio kuacha, ila apunguze.
Anywe bia kwa wastani , na awe na ratiba.
Aache kampan za ajabu.

Mm nina rafik zangu watatu tu wa bia na mara nying nakunywa mwenyewe.
niliacha kukaa na kampan za walevi baada ya kugundua walevi wengi wanatumia hela nyingi kuweka heshima bar alaf nyumban kwao maisha ya Hovyo.

Nikaona huu uduanzi,. Mm siwez kuwa kama wao.

Na bia ndio inanifanya nikazane kufanya kazi , nikijua jion nitarelax, nitakunywa Bia zangu 4, nitaenda Home kula na kulala kwa aman kabisa. Na chenji inabaki na maendelea nayaona.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Exactly kuacha kunywa bia ni kazi sana aisee ila anaweza punguza, first ajipe muda mwingi kufanya kazi pili apunguze kampani na walevi sugu mbona ataona mabadiliko.
 
Kama bado hujaoa tafuta demu na umweleze hilo tatizo lako na mlifanyie kazi mpka uache kisha umuoe muanze Maisha. Ukiwa single ngumu sana kuacha hayo mapombe maana ndio kampani yako iko huko
 
Mkuu kunawatakao kushauri usiache, ila kumbuka wako nyuma ya keyboard, na inawezekana hawanywi, au wanatumia kidogo na unayeloose ni wewe sio wao.

Anza kutumia chai na niwa ukiwa na kiu ya pombe. Badili cycle ya marafiki na tafuta vitu vya kukuweka busy na mazoezi. Hii ilinisaidia kuacha pombe miaka nane iliyopita.

Ukishindwa subiri ikufukuzishe kazi, utaiacha kwa lazima
 
Bro nliambiwa ili mtu aache pombe ushauri hautoshi mpk skumoja anyweeeeeeeee alafu zile pombe zmfnyie jambo baya either afnye fujo au afanye Jambo la aibu kwa jamiii afu akija kjielewa wkmwambia umefnya moja mbili tatu aaape kwenye nafc yake kwamba kma kweli n pombe ndo zmfnya nmkua hvi kutoka moyoni kuanzia "leo" mm bac.

Bro Wang alkua mlevi wa kupndkia wlishauri Sana na ktumia madawa mbalimbali, but still alkua hbadiliki mpk mke wake akakta tamaa kukaa nae.

But kuna sku mama mkwe kaja pale kusalimia jmaa hajui kapiga maji yake kaja pale om full vituko anavua nguo anbak na boxer anaaza kucheza mama mkwe akaondoka analia by the way nlkuepo.

Kwaio kesho yake mm ndo nlkua wa kwanza kmuelza ujinga wke na matus juu japo knzd mam mkwe alkuepo na nn akalia sana afu akaapa Kama kweli n pombe zmenfnya hvi kuanzia leo mm bc mpk kesho hta grand Malta hatumii.

So pombe kmshaur mtuu aache n ngumu muombe mungu akupe bonge la tukio afu utaacha mwenyewe.

Ndugu yangu kama vituko nimefanya kama vitatu ambavyo nakumbuka najionea aibu kikubwa ni kulala balazani sasa jamn hivi kweli ni pombe.

Mm kipimo cha kuacha sio kukaa week mbili make mim ata nahadithia hivi naweza kukaa ata week mbili tatizo siku nikigusa wew nitakua kama najikomoa na kama kesho weekend mim ndo nitenda kufungua bar na kuifunga pia.

Dada mmoja kaunta alinambia kauli nikajichukia kiasi,eti ananipa bia haijaisha naagiza nyingine ata haijaisha kama nashindana nazo vile.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kunawatakao kushauri usiache, ila kumbuka wako nyuma ya keyboard, na inawezekana hawanywi, au wanatumia kidogo na unayeloose ni wewe sio wao.

Anza kutumia chai na niwa ukiwa na kiu ya pombe. Badili cycle ya marafiki na tafuta vitu vya kukuweka busy na mazoezi. Hii ilinisaidia kuacha pombe miaka nane iliyopita.

Ukishindwa subiri ikufukuzishe kazi, utaiacha kwa lazima

Kwel kabisa ningeelekea uko sema kiukwel nitashinda trust guy.I hate addiction hii nafeel kama inatakua addiction ndo maana nataka kuacha kabla haijanichukua.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom