Kwakweli najiona kama napotea

Kwakweli najiona kama napotea

Charge

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
91
Reaction score
166
Habari yenu ndugu zangu.

Nimekuja kwenu nione kama kidogo naweza kushusha mzigo toka moyoni kwa yale ninayopitia. Sababu ya kunifanya nijiisi napotea ni Pombe,nimekua mtumiaji mzuri sana wa pombe kiasi naona kabisa inakoelekea ni kunipoteza.

Kiukweli kama ni mtumiaji wa kilevi nikikuelezea pombe ninayokunywa utajua kabisa mim sio mnywaji ni mlevi. Sio bia tu ata pombe kali mim kote nipo,ilifika kipindi naweza kunywa Kvant kubwa na safari kubwa sita peke yangu na hapo nakua sijakata moto.

Imefika kipindi naona sasa sitaki tena sababu inakoelekea ni kuniondolea sio tu reputation yangu bali vitu vyote nilivyotafuta kwa jasho.

Sijui nifanyeje nitokane na ili janga naisi pia ushauri kutoka kwa watu walioacha na mipombe utanisaidia namna walivyopamba na huyu ambae kabisa kwangu amekua adui.

Asante
 
Pombe uachwa na aliye amua mwenyewe kisha badili mtindo wako wa maisha na zaidi marafiki wa namna ya tabia unayo tamania kuiacha...

Kisha muombe Mungu sana kama una Imani hiyo
 
Pombe uachwa na aliye amua mwenyewe kisha badili mtindo wako wa maisha na zaidi marafiki wa namna ya tabia unayo tamania kuiacha...

Kisha muombe Mungu sana kama una Imani hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima nitaacha kiukwel sema hadi nashinda ili jaribu itakua pia imenitesa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hadi naandika huu uzi ni kwanmba hajawa easy kuacha lakn naamini nitaishinda tu mungu anitie nguvu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado hujaamua, ukiamua hakuna kinachoshindikana.

Japo mwanzo itakuwa ngumu ila ukisimamia maamuzi yako utaweza. Anza na kinachosababisha unywe pombe, then anza kwa kupunguza kiasi unachokunywa siku hadi siku.

Ikishindikana nenda kamuone mwanasaikolojia atakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaamua, ukiamua hakuna kinachoshindikana.

Japo mwanzo itakuwa ngumu ila ukisimamia maamuzi yako utaweza. Anza na kinachosababisha unywe pombe, then anza kwa kupunguza kiasi unachokunywa siku hadi siku.

Ikishindikana nenda kamuone mwanasaikolojia atakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida naisi upweke tu,make kwa mda huu nimekua mtu wa kupenda company sana nanienda kupata hizo company naishia kunywa kwa hiyo option ni kuzipiga hizo company kiukwel.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lazima nitaacha kiukwel sema hadi nashinda ili jaribu itakua pia imenitesa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
nilikuwa amani chapombe;acha kabisa

nilikuwa nafika home nasijui nimefikaje;tena kwa pikpik na geti nafunga.

baadae niliona hatari ya kubakwa nika surender.

*nilianxa kunywa maji kwa wingi asubuhi,mchana,jioni na hata usiku

na taratibu niliacha mazoea ya kunywa pombe asubuhi na kwenda bar au kwenye vigrosari,company niliachana nayo 4goods

hivi sasa watu wananishangaa nimeachaje pombe? nawajibu sina pesa.
 
Get busy fanya sana kazi hadi uchoke afu pitiliza nyumbani kulala iwe routine yako kwa siku 7 za mwanzo kisha repeat. Mwenyewe nakushauri uache pombe ila mm wala sina mpango wa kuacha sema saizi nakunywa atleast mara 3 kwa week, kuacha kabisa nimeshindwa.
 
Mimi nakunywa pombe ila unakuta napitisha hata mwezi sijaonja ,ila mwanzoni ilikuwa kila siku ,nlipochunguza zaidi nikagundua marafiki,yani ukipenda kuwa karibu na marafiki wanaowaza kunywa pombe muda wote basi nawe jiandae kuwa mlevi mbwa ,so jitahidi kukaa mbali na kampani yako ya ulevi automatically utaanza kupunguza kiwango cha unywaji
 
Shida naisi upweke tu,make kwa mda huu nimekua mtu wa kupenda company sana nanienda kupata hizo company naishia kunywa kwa hiyo option ni kuzipiga hizo company kiukwel.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo kampani ndio tatizo ,jaribu kuwa na marafiki ambao sio wanywaji au kama wanakunywa basi Mara 1 1 sana
 
Back
Top Bottom