MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!
But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death!
Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.
Huyu jamaa pasua kichwa sana... bora uanze kumwacha wewe ili asipate kukutangaza vibaya akikuacha yeye..
Hizi kelele za chura hiziHuyu jamaa pasua kichwa sana... bora uanze kumwacha wewe ili asipate kukutangaza vibaya akikuacha yeye..
Hizi kelele za chura hizi
Duhhhhhhhh........Bby mi ni CHURA??
kwi kwi kwi...lol
Ni yeye Kiwatengu aisee
Ni ulimaanisha kiwatengu eeeh
Yaani hadi inaboa unaona comments 50 kumbe 40 uchakachuaji
Leo unaniita chura! mwezi ujao..utaniona chura mimi ninavyokula masato na masangara...
Chocs..najua si wewe na wala si akili yako inayokufanya unifananishe na amphibia!
Mkuu Nicas Mtei, tuwieni radhi!! hatuchakachui tena..
Achana na hawa jamaa we kula bata humuhumu...watoke wao km wanaboreka eboooo
We are so sorry,we didn't mean it
Hahahaaa
Sawa bora umemtaja ajijue