Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

Tag? Mfumo wa kutumia Tag ni Mfumo wa kutumia namba. Kama hiyo bandari ya Tanga imekuwa tabu kutumia tag 2 na Tag 3 na wataalamu wa hizo tag wote wanajifanya wajuaji sana, nashauri muamue kutumia Tag mpya, Tag Tanzania, taG Tanzania mpya? wanaojua Mfumo wa tag wanaelewa, wanaelewa sana.

Uliyetukuka, Waziri Mkuu ni kwambwa hao mameneja wa tag wanaelewa somo vizuri, na kama hawaelewi ni kumba wamedaganywa na vitimoto vichachu (wazungu matapeli) au ni mameneja na wasomi wa kukalili.

Mfano, Kongo wanatumia Tag kudhibiti madini yao(kunafaida na hasara yake), kwa kesi ya Kongo kutokana na documentary moja niliyoiona ni kwamba wamiliki wa Tag hizo wanajua kinachoendelea

Ukitumia tag mpya utajua kinacho endelea ndugu waziri mkuu.

wasikubabaishe Tag 2, Tag 3, Tag 4 au Tag 1, zote ni algorithm, waulize vizuri hao wahusika na wajuaji wa tag watakuambi

Nipo tayari kusaidia hili,

nawakilisha
Hujui unenalo
Tag za bandari ni zile boti zenye nguvu kubwa zinatumika kuongoza,kusukuma au hata kukokota meli kuingia au kutoka bandarini
 
Ndio Maana ya tag? kwa kitanzania, kwa kiswahili au kwa mfumo mnaotumia? unajua maana ya tag? Hiyo meli nikiiwekea Tag mimi nitashindwa kuitambua? au nikiikokota nitashindwa kuelewa inanini na inakwenda wapi na ni ya nani?
 
Na ndio hayo Majibu mmempa Muwajibikaji waziri mkuu na mkajilizisha,
akalizika na mkajiona mpo sahihi?
 
Tag? Mfumo wa kutumia Tag ni Mfumo wa kutumia namba. Kama hiyo bandari ya Tanga imekuwa tabu kutumia tag 2 na Tag 3 na wataalamu wa hizo tag wote wanajifanya wajuaji sana, nashauri muamue kutumia Tag mpya, Tag Tanzania, taG Tanzania mpya? wanaojua Mfumo wa tag wanaelewa, wanaelewa sana.

Uliyetukuka, Waziri Mkuu ni kwamba hao mameneja wa tag wanaelewa somo vizuri, na kama hawaelewi ni kwamba wamedaganywa na vitimoto vichachu (wazungu matapeli) au ni mameneja na wasomi wa kukalili.

Mfano, Kongo wanatumia Tag kudhibiti madini yao(kunafaida na hasara yake), kwa kesi ya Kongo kutokana na documentary moja niliyoiona ni kwamba wamiliki wa Tag hizo wanajua kinachoendelea

Ukitumia tag mpya utajua kinacho endelea ndugu Waziri mkuu.

wasikubabaishe Tag 2, Tag 3, Tag 4 au Tag 1, zote ni algorithm, waulize vizuri hao wahusika na wajuaji wa tag watakuambi

Nipo tayari kusaidia hili,

Nawakilisha.
Kaaaazi kweli kweli. Mkishafakamia wanzuki yenu nendeni mkalale. Mtakuja kuitwa vichaa bure...
 
Poa Wanzuki? Sasa mimi nimekunywa wanzuki je wewe Umekunywa nini? na Hapo tanga Kuna tag ngapi? zinamaanisha nini? na zinasaidiaje weredi wa kazi? Tunataka kuwasaidia ingawa tumelewa wanzuki
 
Hujui unenalo
Tag za bandari ni zile boti zenye nguvu kubwa zinatumika kuongoza,kusukuma au hata kukokota meli kuingia au kutoka bandarini
hata mimi nashangaa mkuu sijui huyu jamaa anaongea kuhusu kitu gani.
 
Mnakokota Meli Ngapi kwa siku? Mnatumia Tag Ngapi Kwa siku? na Mna jumla ya Tag ngapi hapo bandari ya Tanga? Na tagi ziliazishwa kwa dhumuni gani na mwaka gani? Kama hamnielewi ni kuwa ninyi ni wajinga au vibaraka wa vitimoto vichachu?
 
Tug au tishari kwa kiswahili
We ni Msomi au ulipata kazi kwa urithi? mwanasiasa wa ccm au Chadema? kwa sababu Tanzania unaweza kupata kazi kwa kusoma, kujua na kuelewa au kurisishwa ? wewe ni kundi gani? mimi namuunga mkono Magu na Majariwa
?
 
Jamani hizo ni taaluma za watu:
Tug Na Tishari ni vitu viwili tofauti ingawa vyote hutumika kwenye shyghuri za bandarini.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Ndio Maana ya tag? kwa kitanzania, kwa kiswahili au kwa mfumo mnaotumia? unajua maana ya tag? Hiyo meli nikiiwekea Tag mimi nitashindwa kuitambua? au nikiikokota nitashindwa kuelewa inanini na inakwenda wapi na ni ya nani?
Kiswahili tunaziita tishali, kazi yake ni kusaidia kusukuma meli ifunge gati.
 
Tag? Mfumo wa kutumia Tag ni Mfumo wa kutumia namba. Kama hiyo bandari ya Tanga imekuwa tabu kutumia tag 2 na Tag 3 na wataalamu wa hizo tag wote wanajifanya wajuaji sana, nashauri muamue kutumia Tag mpya, Tag Tanzania, taG Tanzania mpya? wanaojua Mfumo wa tag wanaelewa, wanaelewa sana.

Uliyetukuka, Waziri Mkuu ni kwamba hao mameneja wa tag wanaelewa somo vizuri, na kama hawaelewi ni kwamba wamedaganywa na vitimoto vichachu (wazungu matapeli) au ni mameneja na wasomi wa kukalili.

Mfano, Kongo wanatumia Tag kudhibiti madini yao(kunafaida na hasara yake), kwa kesi ya Kongo kutokana na documentary moja niliyoiona ni kwamba wamiliki wa Tag hizo wanajua kinachoendelea

Ukitumia tag mpya utajua kinacho endelea ndugu Waziri mkuu.

wasikubabaishe Tag 2, Tag 3, Tag 4 au Tag 1, zote ni algorithm, waulize vizuri hao wahusika na wajuaji wa tag watakuambi

Nipo tayari kusaidia hili,

Nawakilisha.
Huyu mleta Uzi kuna kitu huenda kachanganya hapo tag nizile bot zinazo pokea meli na kuzileta katika gate ndo tutasikia zikiitwa hivyo hapo bandari.
 
Back
Top Bottom