Kwako Umeme unawaka Sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Umeme unawaka Sasa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfinyanzi, Jul 18, 2011.

 1. M

  Mfinyanzi Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni Grid au ni kwetu Sisi wanyonge tu.
   
 2. M

  Mfinyanzi Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa Hivi 2020hrs
   
 3. Dfour

  Dfour Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  si mmekataa kupitisha bajeti mwaka huu kazi ipo
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nawaonea huruma wanaojiandaa na mitihani halafu umeme unakatika usiku kabla ya mtihani, mtihani unafanyika saa mbili asb, hosteli iko mbali na chumba cha mtihani- mpaka usafiri wa daladala. Mtafutano.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ng'ombe hanenepeshwi siku ya mnada!
   
 6. M

  Mfinyanzi Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa umerudi 2108HRS sijui utakatika tena au nizime KIBATARI
   
Loading...