Kwako rais Samia Suluhu Hassan

Kwako rais Samia Suluhu Hassan

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,867
Reaction score
3,618
Nawasalimu wote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.

Sina namna ya kumfikia rais lakini naamini anaweza akapitia hapa akapata ushauri utakao msaidia au hata wasaidizi wake huenda mkaona na msisite kumpelekea ushauri huu kwake.
Ipo hivi,
-Katika ma rais waliofanya mambo mazuri ya kuwagusa watumishi wa umma basi huwezi kusahaulika,
  • Rais anayewapambania watu wa chini ili wawe na maisha bora, basi SSH hawezi kusahaulika.
  • Rais anayepambana kuendeleza mazuri ya Magufuli hususani ujenzi wa miundo mbinu basi unaupiga mwingi.
  • Rais aliyetoa ajira rasmi nyingi, nyingi basi ni rais Samia S. H
Wengi walikata tamaa ya kuja kuwa watumishi wa umma lkn itoshe kusema umefanya maajabu.

Katika hayo yote, una dosari Moja tu, ebu ishughurikie ili uwe salama kutoka hasira ya Mungu.

1. Heshimu mawazo ya upinzani juu ya uchaguzi kwani ni kweli asilimia 100 Kuna hujuma/wizi katika chaguzi zote za hivi karibuni.

Achana na watu wanaikutia ganzi ya moyo kwamba things should go like that,.No No! Machozi yakifika mbinguni Mungu atachukia na kuuondoasha utawala wako mzuri.

Nina uhakika 100%, haki ikisimama katika chaguzi, huwezi kupoteza nafasi yako ya uraisi bali wabunge na madiwani wazembe ndo watapoteza nafasi zao Nazo zitajazwa na wagombea wa vyama vingine wenye haki ya kushinda na kuongoza.

2. Hizi issue za utekaji na mauaji, simama kidete Leo kukemea na amuru wanaofanya hayo wakikamatwa iwe ni watumishi wa umma au sivyo watahukumiwa kwa mujibu wa Sheria kwani wewe hujawatuma.

Kwa ufupi toa statement ya kunawa mikono kwa hizi damu na machozi yamwagikayo kwani usipofanya hivyo utadaiwa na Mungu mikononi mwako na huenda ukapitia magumu kama sio kupoteza maisha ungali unahitajika.

Nakutakia utekelezaji mwema.!
 
Mkuu, andiko lako la viwango sana. Umeanza kwa kuAppreciate kazi yake then ume analyze the setbacks.
I wish mkulu angefanyia kazi haya maoni yako angejiongezea mtaji wa Compliments world wide.
 
Usije shangaa mod wa JF wakiwa na CCM wakalifuta au ku Hidden uzi
 
Nawasalimu wote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.

Sina namna ya kumfikia rais lakini naamini anaweza akapitia hapa akapata ushauri utakao msaidia au hata wasaidizi wake huenda mkaona na msisite kumpelekea ushauri huu kwake.
Ipo hivi,
-Katika ma rais waliofanya mambo mazuri ya kuwagusa watumishi wa umma basi huwezi kusahaulika,
  • Rais anayewapambania watu wa chini ili wawe na maisha bora, basi SSH hawezi kusahaulika.
  • Rais anayepambana kuendeleza mazuri ya Magufuli hususani ujenzi wa miundo mbinu basi unaupiga mwingi.
  • Rais aliyetoa ajira rasmi nyingi, nyingi basi ni rais Samia S. H
Wengi walikata tamaa ya kuja kuwa watumishi wa umma lkn itoshe kusema umefanya maajabu.

Katika hayo yote, una dosari Moja tu, ebu ishughurikie ili uwe salama kutoka hasira ya Mungu.

1. Heshimu mawazo ya upinzani juu ya uchaguzi kwani ni kweli asilimia 100 Kuna hujuma/wizi katika chaguzi zote za hivi karibuni.

Achana na watu wanaikutia ganzi ya moyo kwamba things should go like that,.No No! Machozi yakifika mbinguni Mungu atachukia na kuuondoasha utawala wako mzuri.

Nina uhakika 100%, haki ikisimama katika chaguzi, huwezi kupoteza nafasi yako ya uraisi bali wabunge na madiwani wazembe ndo watapoteza nafasi zao Nazo zitajazwa na wagombea wa vyama vingine wenye haki ya kushinda na kuongoza.

2. Hizi issue za utekaji na mauaji, simama kidete Leo kukemea na amuru wanaofanya hayo wakikamatwa iwe ni watumishi wa umma au sivyo watahukumiwa kwa mujibu wa Sheria kwani wewe hujawatuma.

Kwa ufupi toa statement ya kunawa mikono kwa hizi damu na machozi yamwagikayo kwani usipofanya hivyo utadaiwa na Mungu mikononi mwako na huenda ukapitia magumu kama sio kupoteza maisha ungali unahitajika.

Nakutakia utekelezaji mwema.!
Asante kwa ujumbe mzuri
 
Unapigia mbuzi gitaa
 
1746204494304.png
 
Kuna genge faidika limemzunguka haliwezi ruhusu maoni haya maxuri yatekelezwe!
Itamaanisha kutia kitumbua chao mchanga...
 
Ushauri mzuri. Hivi jamani ndugu yetu mdude bado tu hajapatikana?
 
Kuna genge faidika limemzunguka haliwezi ruhusu maoni haya maxuri yatekelezwe!
Itamaanisha kutia kitumbua chao mchanga...
Wananchi wanaendelea kutimiza wajibu wao wa kiraia wa kushauri mambo mazuri
 
Back
Top Bottom