Kwako Rais Magufuli

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]...mkuu hamna namnaa...kama nakuona unavoandika
 

Huo Umuch know unaousema ni wakulitetea TAIFA lake,huyo unayemuabudu sijui JPM huyo naye ni wale wale wapigaji tu.Hivi mpaka sasa ameshatoa mrejesho wa bilioni nane za KIVUKO kibovu??

Siku ukijua umepatikana kwa kumuabudu binadamu wmenzako umeishazeeka hauna muda wala nguvu ya kuhoji tena

Pili kwa kusema UMUCH know umemponza maana yake Serikali ya CCM inatakiwa kula bila kuhojiwa na RAIA zake na ukihoji halali yako KIFO,basi ni bora tukatangaziwa kabisa kugawana maeneo ili mnaopenda kuona damu za watu mchukue maeneo yenu na tunaopenda haki na uhuru wa RAIA tupewe eneo letu.

Msiue watu kwa kisingizio chochote.Acheni uuaji.Kuna baada ya dunia hii.JPM hana mbingu na wala hana nchi na yeye anapita tu.
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]...mkuu hamna namnaa...kama nakuona unavoandika
Mkuu acha tuseme mpk watakapozima hii mitandao, acha tumweleze ukweli , hii sio nchi tuliyoitegemea hata kidogo
 
Mwambie huyo, na mswaada unapelekwa wakumuongezea muda mpaka 2029
 
Mkuu wewe jua kitu kimoja huwezi shindana na serikali,fanya yako.Hiyo hali ipo mioyoni mwenu tu,mtaani maisha yanasonga kama kawaida.Lissu alijidanganya na nyie mkamchochea akajiona Hero.,wangapi hapa walimwambia anachokitafuta atakipata?,. Kama unataka uongozi wa nchi subiri 2020 ugombee ila usiwatoe watu kwenye mipangilio iliyopo.Mnamuita mwanasheria msomi,wanasheria wengine hawajasoma?,haya yupo wapi sasa?.,hii dunia fanya yako,serikali achana nayo huwezi shindana nayo,itakula kwako.Kama una hasira sana hama nchi,urudi Lowassa akiwa Raisi,kama hujazeekea huko huko.
 
Yeye Anadhani kwamba ni Mungu mtu na anataka watanzania wamwabudu yeye badala ya Mungu halisi.

Yaani rais mnafiki na mwenye roho ya chuki na vinyongo kama huyu, hahitajiki kuliongoza taifa hili
 

Kuna siku utakuja kuyakana haya unayoyaandika.Hakuna Serikali duniani inayokataa kukososlewa zaidi ya serikali zetu za AFRIKA ambazo keki ya TAIFA ni kwa ajili ya nyie mliokaribu na mwenye kigoda na wale ndugu na marafiki wa karibu.Tumeiona hata kwa huyo mnayemuabudia nduguze na familai yake ndiyo wanaokula mezani sasa,na wapambe mnachukizwa sana kuona Mkuu hali kwa raha.

Sikushangai na sitokushangaa maana ni mmoja wanaopewa keki ya TAIFA.

Kuwa wakili msomi ni jina la kila wakili duniani anaitwa hivyo kama hujui basi uliza japo uelimishwe.

Anachokifanya Lissu ni kutaka kile kidogo hata watanzania wengine wakipate japo tone,kuanza kusme uliyoyaongea hapo juu sidhani kama upo sawa labda umelewa ulichowekewa mezani.Hakushindana na serikali bali kwa serikali makinia likuwa naielekeza wayfoward ya wapi RAIS apite ili afanikiwe anakoenda,lakini msiojua mnakimbia bila kuangalia nyuma,huyo JPM yuko kwa ajili yamaslahi yake na familia yake tu.

Pole sana,nilidhani naongea na mwenye akili kumbe napigishana kelele na mwen...............................zimu
 
Usituletee mambo ya sudani, unataka tanzania igawanyike! Kumbuka hotuba ya baba wa taifa juu ya kujitenga laana itawafata mtakao jitenga.Acha upimbi ingetokea kama rwanda mauaj ya wenyewe kwa wenyewe utafurah!? acha woga wa kijinga wew mwanaume pambana usikae unalia ka mwanamkee, unataka maisha kama ya siria!! Nenda shule coz unahoja za kijinga, na inaonyesha hata shule hukwenda wew!! Kwa taarifa yako rais aliepo mpaka 2029 kama umevmb pasuka!!
 
ukiona hivyo ujue anatafuta kiky kwanza yukowapi sijamsikia muda mwingi sana kanisa bado lipo?
L

eo mchungaji Fernandes agape kamsifia sana magufuli mpaka sijaelewa kwanini na mauaji haya yanayopangwa dhidi ya wanavyama mbadala
 
Mwizi akibanwa atatafuta kila. sababu ya kueneza propaganda chafu dhiidi ya yule anayezuia wizi
 
Lazima uongee kiwehuwehu maana umeshajikatia tamaa

Utabaki kukodoa mimacho anayekula ni bashite na baba ake

Msitufanye sie wajinga pumbavu zenu
 
We endeleza mapambano nyuma ya keyboard,ila ukijitokeza mtaani ni kipigo tu mpaka utakapojua kujibidiisha na kuacha ulalamishi.Tatizo mmekariri kila anayepingana na nyie anafaidika serikalini.Walalamishi ni wale wale hata wakati wa JK,utazeeka ukiwa mlalamishi.Shauri yako.
 
Yeye Anadhani kwamba ni Mungu mtu na anataka watanzania wamwabudu yeye badala ya Mungu halisi.

Yaani rais mnafiki na mwenye roho ya chuki na vinyongo kama huyu, hahitajiki kuliongoza taifa hili
Hayo ni mawazo yako!! Kwafitina zako na uchama wako, unapoteza muda tu! Pambana namaisha yako ujipatie ridhik ukamilishe life cycle ya hapa dunian, muache rais afanyekaz, najua sio lazima umpende wew ila sis tulio mpakula bado tunampenda! Hata wew hupendw na wote, so keep calm!!
 
K
Lazima uongee kiwehuwehu maana umeshajikatia tamaa

Utabaki kukodoa mimacho anayekula ni bashite na baba ake

Msitufanye sie wajinga pumbavu zenu
Kama sio wajinga jitokezeni hadharani mtenguliwe,sio mnajificha nyuma ya vi Tecno vyenu.
 
Njaaa baba njaaa matumbo Panama hali si hali!!!
 
Huoni hata machinga wasiolipa kodi waliofungua maduka mbele ya maduka ya walipakodi kariakoo?
Humuoni machanga anaezalisha taka asie na dustbin kariakoo halipi gharama za uchafu ilihali mwenye chombo cha taka asiezalisha taka aliefungiwa ndani na machinga akilipapa pesa ya taka kwa mwezi elfu thelathin?
Huwaoni hata wanafunzi walionyimwa mikopo wapo home wamekubali yaishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…