Kwako Rais Magufuli

Mkapa kama siyo kinga ya urais alitakiwa kuwa magereza muda huu. mwizi mkubwa
 
Baba ako angepigwa kama Lissu usingefika hapa kutetea yasiyofaa kwenye Jamii.. Mara ngapi watu wamekutana taifa kumuombea yeye, nani kakuambia Uwanja wa taifa ni msikiti au kanisani... Acha kukumbatia miba wewe... Boti linazama na wote hili
Kuna aina ya watu huwa wanafulahi pale wengine wanapopata shida ama maumivu,huo ni ugonjwa lakini kwa Mungu huwa ni chukizo kubwa na ndio maana dhambi ya Ufilaji naUnafiki vimewekwa pamoja na adhabu yake ni ziwa la moto huyo Jmc06 hana tofauti na mfiraji mbele za macho ya Mungu ni aina ya watu wanaofulahia mateso kwenye jamii ilimradi anaeyatenda wamefungamana nae wakumbuke kuwa wakutanapo wawili ama zaidi popote Mungu yupo katikati yao leo hii tumefikia mahali tunazuia watu wasikutane kumlilia Mungu?
Mungu atajibu,Mungu anayaona machozi yao na Mungu hadhihakiwi.
Kwanini Rais tumekuwa tukimuombea kwenye viwanja mbali mbali na mahari pengine pote bila vizuizi? Je tusiokuwa na dini tuende wapi?
 
Mimi sisemi lolote kwani Moyo wangu una mengi
 


Kukaa kimya nako ni jibu
 
Ni ngumu sana kushitakia mungu mtu ambaye hana imani nae kama angekuwa ana imani kuwa mungu yupo angefanya mambo mema, Mungu mtumieni nyie ila kwa kiongozi wa Nchi Badae sana,
Kwa sasa ni kusubiri kwa mana wahenga walinena kuwa Ngoma ikivuma sanaaaa
 
Wewe Ukawa. Tangu lini akampigia kura Jembe? Wee na Lowassa.Sisi tuona mambo mazuri sana sasa. Wee kaa kwenye kochi la shemaji yako ukiomba wakuletee ugali. Na mkate asubui. Mfereji wa pesa bandarini tumefunga. Bank na pesa zetu tumefunga. Kodi lazima kulipa sio mchezo mchezo tena. Mchezo wa kuandikia reseti za magumashi kwisha. Kodi za ovyo ovyo vituo vya bus stop. Ushuri wa barabara ni stop. Utapata wapi pesa za kuchezea. Kunishawishi kuna kazi my frnd.
 
Kuleta maendeleo kwa wananchi..Kulinda usalama wa raia.. Kutoa huduma ya kijamii.

Hapo sasa usiniulize kwa nini haitoi huduma za kifamilia.
nipe tofauti ya huduma zakijamii na huduma za kifamilia
 


Kiboko ya CCM "Pray4Lissu"
 

Wakiwa hapa hawakumbuki kama kuna kufa maisha yao yanakuwa kama vile mlevi wa gongo
 

Attachments

  • DJvvCOiWsAAZ91R.jpg
    51.1 KB · Views: 32
  • DJ87kDhW0AA3ZQi.jpg
    21.2 KB · Views: 29
Kwani ulimpakura wew!? Acha kujipendekeza, tuliompakura tumetulia natunafurah! Kubaliana na mim hiyo ndo majority rule kama ulikua hujui. ku win uraisi lazima mmoja apate nusu plus 1 ya kura zote, so dont panic braza! Pambana na hali yako! Usizani wote tunamawazo kama yako, kama unadukuduku kaanalo moyon mwako. Kuhusu kulipwa mbingun, hatawew unadhambi nyingi tu, wangap wamemwaga damu za watu bila sababu mfn. Somalia, uarabuni n.k kwan wao sio binadamu! Usijifanye unamjua mungu kuliko wengine! Shikilia imaniyako!!! Huo ndo ushaur wangu!!
 
Wakiwa hapa hawakumbuki kama kuna kufa maisha yao yanakuwa kama vile mlevi wa gongo
Usijifanye unamjua mungu sana, hata wew utakufa, ufanye mema ufanye mabaya utakufa tu! Timiza ya duniani, ujue kifo kipo tu. Wew na utuzima wako huo kifo ndo umekijua leo?
 
Kiboko ya CCM "Pray4Lissu"
Vipi Albadir imegonga mwamba?,.. Tatizo mnachanganya sukari na chumvi,Albadir ni ushetani halafu mnaenda kwenye maombi ya kweli,mgonjwa wenu atalazwa mwaka mzima namna hiyo.
 
Vipi Albadir imegonga mwamba?,.. Tatizo mnachanganya sukari na chumvi,Albadir ni ushetani halafu mnaenda kwenye maombi ya kweli,mgonjwa wenu atalazwa mwaka mzima namna hiyo.

Albadir mmeiogopa mkapeleka magari yote yaliyotoka matengenezoni Tanga,mliporudi mkachanganyikiwa mkiona picha za Lissu tu mnatafuta SMG, na bado mtakuwa vichaa subirini tu.

Kiboko ya Serikali ya CCM T-shirt za Pray4Lissu.

Nasikia sasa hivi ukimwambia tu IGP Sirro na yule Mambokesho kwamba tshirt za Pray4Lissu zimaonekana huko watakuja mbio kama moto wa kibiriti.

Ngoja nikufunde mwanakwetu,usicheze na kibiriti,kwani njiti moja tu ya kibiriti inaunguza msitu.
 
Usijifanye unamjua mungu sana, hata wew utakufa, ufanye mema ufanye mabaya utakufa tu! Timiza ya duniani, ujue kifo kipo tu. Wew na utuzima wako huo kifo ndo umekijua leo?

Kifo kipo hata kwenu wauaji kifo kipo,na hakuna atakayekikimbia,tunachokimbia ni kimoja tu wapi utadondokea.

Kama mnaogopa hata Tshirt akija mwenyewe je?
 
Mkuu umri wako na huu ushabiki maandazi wa T shirt haviendani,una sound kama vijana wa kijiweni wanaoshinda wanabishania Maywether na Ronaldo nani ana pesa zaidi.,jibidiishe serikali ni hii hii ya JPM hadi 2025,hizi nyingine ni porojo tu.Huyo Lissu wenu kaponzwa na Upumbavu wake kujifanya MUCH KNOW.
 
Paka sasa sioni chochote alicho Fanya magufuli zaidi ya kununua ndege Ndege yenyewe wanapanda wenyewe. muda unasonga Viwanda vikwapi Mr Magu mbona tuna fanyana watoto. Lakini pouwa tutakutana 2020
Hizo ndege kanunua kwa pesa zipi? yaulize mashirika ya umma yaliyoathiriwa na ununuzi wa hizi ndege. Angeongeza mapato ya serikali na akanunua hizo ndege ningeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…