Kwako Rais Magufuli


Daaahh,,POLE SAANA KWA MACHUNGU ULIONAYO MPAKA UKAAMUA KUITAPIKA HIO NYONGO YAKO ILI UTOE MACHUNGU YOOTE YANAXOKUKABILI MKUU..pole sana[emoji30]
MKUU KAMA UTAKUMBUKA AWAMU YA MKAPA MLIONGOZA/WALIONGOZA KWA KULIA NA KUSEMA KUA HUU NI WAKATI WA UKAPA KABXAAAA..kulitokea mgomo Zanzibar na wabunge wa CUF walisusia kwenda bungeni MATOKEO YAKE HAO WABUNGE WALIFUTWA BUNGENI.kuna MAANDAMANO YALITOKEA HUKO VISIWANI KUTOKANA NA HIZO VURUGU WAKAUWAWA RAIA KAMA SIKOSEI WA3..
Hao hao wazanzibari wakachukulia hio advantage kujilipua nchi za watu kama kujifanya wakimbizi..ATI KISIWA CHA ZNZ HAKINA USALAMA(kama anavo copy&paste M/kiti wa CDM kwasasa)
Huo ulikua utawala wa Mh Benja
Ktk huo huo UTAWALA WAKE ILITOKEA AJALI YA TRENI NA AJALI YA MV BUKOBA ILISHUSHWA HADI BENDERA YA TZ KWAJILI YA MAOMBOLEZO!!najua hizi kumbukumbu huna kwasbb awamu hio ulikua hata HUJABALEGHE
MAJAMBAZI NA UTEAKAJI ULISHAMIRI NCHI NZIMA ILIFKIA HATUA MKITEKWA MNAIMBISHWA WIMBO WA MTAJI WA MASKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE
NIKIINGIA TENA HISTRY YA AWAM YA 4 NTAJAZA KURASA MIA8 bora niishie hapa nikujibu nakukupunguzia hayo machungu ya kinafiki[emoji3]
AWAMU HII YA 5 NDIO UNAILALAMIKIA ATI UJAMBAZI UTEKAJI MAUAJI HALI NGUMU KIMAISHA
WEWE HUNA WATOTO HUJUI ADA ZA SHULE,,,,,,LEO MWANAFUNZI ANASOMA BUREEE,,,,!!!
Wewe SIO MKULIMA WALA MFUGAJI leo WAKULIMA NA WAFUGAJI THUBUTU WATOZWE USHURU WAO WA KUUZA MIFUGA AU MAZAO YAO.
MSITUMWE TU KUFUNGUA THREAD HUMU ILI MVUTE POSHO
IVI VIZAZI VYA DIGITALI TABU SANA[emoji1321]
 

Mkuu hii ni CiNEMA gani unayoihadisia maana nimeanza juu kuisoma lkn sijaielewa[emoji849]
Anyway Mgoja nianze kusoma kwa chini kwenda juu huenda nitaielewa
 
Mkuu hii ni CiNEMA gani unayoihadisia maana nimeanza juu kuisoma lkn sijaielewa[emoji849]
Anyway Mgoja nianze kusoma kwa chini kwenda juu huenda nitaielewa
Hahaha huwezi kuelewa.,kuna nati umeshazi tight upande mmoja,haziruhusu kuelewa upande mwingine kabisa.Sio wewe tu,mpo wengi.
 
Chapa kaz dogo...ukivuna tani 80 za mbaazi unawexa jishindia kacorolla ka 12 mln....
 
Wanaopata neema kipindi hiki ni jamii ya kina maliyamungu kipindi cha IDDY AMIN
 
Kama n mapito inabidi uvumilie, pia usisubr serikal ikuajir tumia ujuz uliofundishwa kutafuta fursa za maisha. Acha lawama na ufanye kaz neema inakuja na hakuna kiongoz bora kama Magufuli.
 
Ww unafikiri Bashite atasema hali ni ngumu? Nadhan hali yenyewe inaonekana kabsa.

Mtaji wa elfu 50 TRA wanataka kodi hapo. Unadhan kwa hali hii mtu utapata unafuu gan wa maisha. Unaweza kukuta unafanya biashara kwa mtaji wa 50 elfu, unapata faida ya sh 2000 kwa siku na hyo ndo unayotegemea ule lakn TRA watakwambia ulipe kodi.

Nyie mlio uko ikulu na wengne ma DC sdhan km mtasema hali ngumu. Vyeo vyenyewe mmepewa kwa kutetea upuuzi tu
 
Wauza kahawa wanarudi na kahawa zao zimejaa mabirika nyumbani huku akibebamkononi senti hamsinitu.
Wauza mitumba ndio sasa akuna alie uza mitumba yake mitumba imedodo kilamtu anaona avaenguo alionunua kipindi cha kikwete maana hajui keshoyake.
Mama nitilie ndio wanarudi na miugali sufuria zimejaa michuzi kibao kwenyesufuria hili hali wakidai mauzo mabaya.
Huko baani ndio mabaamedi wameamua kuvaa hadi chupi ili muonekano wake uzidikuvutia lakini wateja hawajali wanarudi home mapema kulala nyumbani na mama watoto,huku mabaamedi wakidaibiashara mbaya.
Wewe av
 
Baba ako angepigwa kama Lissu usingefika hapa kutetea yasiyofaa kwenye Jamii.. Mara ngapi watu wamekutana taifa kumuombea yeye, nani kakuambia Uwanja wa taifa ni msikiti au kanisani... Acha kukumbatia miba wewe... Boti linazama na wote hili
 
L

eo mchungaji Fernandes agape kamsifia sana magufuli mpaka sijaelewa kwanini na mauaji haya yanayopangwa dhidi ya wanavyama mbadala
Mku atatumia radio ya Diallo lazima awe sehemu ya promo
 
hiyo elimu bure wewe unaiyona..!!!
 
C nyie mlikua mnakimbia nyumba hadi nyumba na kukata mauno kwenye siteji. Ati sisiemu mbele kwambele. Mara mtaisoma namba KARMA
 
Mungu wetu anafanya kazi katika mazingira tusiyoyatarajia. Tumwache Mungu aendelee na shughuli zake, tusilaumu sana kwani Mungu anajua anafanya nini?
 
unayajua majukumu ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…