Kwako Mzee Yusuph

Kwako Mzee Yusuph

Naona mapovu ya mashangingi yanaanza kwenye Uzi
 
Mwacheni Mzee atumie kipaji chake. Omari Koppa alikufa kwa ngoma.
Mzee Yusuph Bora atumie kipaji chake. Vyuma vimekaza mlitaka akaibe ?
 
Kama hajawahi kuja kwako kukuomba chakula, acha afanye vile anaona sahihi mbele yake mwenyewe.
Ina maana hao mnaowaita watu wa dini sana ndo hawafagi kwa ajali au magonjwa???
Kuna dhambi gani mtu kutumia kipaji chake alichopewa na Mungu kujipatia riziki???
Muhukumu wetu ni mwenyezi Mungu pekee na si mwanadamu.
Unaanzaje kumnyoshea kidole mwenzako badala ya kushughulikia mapungufu yako mwenyewe???
As long as he doesn't steal from you, let him do what he wants for his own bread
Kama sio denser au video vixen basi utakua promoter
Ila ndugu yetu hapo ametoa nasaha kwa muislamu mwenzake na pia ukumbusho kama ilivo ada kwa waislamu,lakini pia mkate utafutwe kwa njia ya halali
Kingine ndugu yangu unaelewa maana halali/halisi ya KIPAJI na matumizi yake?
 
Back
Top Bottom