KWAKO MWENYEKITI SEKL ZA MITAA MBEZI BEACH TANKIBOVU

KWAKO MWENYEKITI SEKL ZA MITAA MBEZI BEACH TANKIBOVU

Sijajuaa lakini naskia hana.MWEZI wamebadili siunawajua naoo n Shida
Huyudogo mpaka anafungwa alishahuduria pale kama anaenda ibada za.mwamposa anaingia anatoka jamaa mmoja akakomaa nae akafungwa
Duh dogo mnamleaa huyo!
Hvi mkuu wa kituo cha kawe Nani sahvi??

Ova
 
MPWA DARAJANI MLIMPELEKA.MWAMPOSA NN

NAONAA NAPITA KWA AMANI MPAKA BASI MATUKIIO KWISHNA
Daraja I pale tulfanya opereshen kali Sana
Kimya kimya nliwaleta wahuni wangu kutoka chanika tuliwafagiaa siku 5 mfululizo pale hku a kulala....
Sahv lbda uporaji mchana wa pikipiki wa simu
Vishanduu wale na wale Dawa yao iko jikoni

Ova
 
BOT NA NYIEEE MNA SHIDAAA HUKO
NILISHAWAHI KUONA YA DUNIA SINA HAMU

WALE WEZI SI WALIKUWA WANAJUA TUNAKIMBIA ASBH BASI NAWAO WANAVAA TRUCKSUIT WAKIONA WAMAMA WANATEMBEA WAKO NA POCHI WANAJIFANYA KUKIMBIA WAKIFIKA WANALAMBA POCHI UNASIKIA MAMA ANAPIGAKELELEE

AJABU WATU WAKITOKA KUKIMBIZA WANAISHIA KUSEMA WALE WALIOVAA TRUCKSUIT TOKA SIKUHIO NILIBADILI NJIA YA MAZOEZI
Nna wanangu wako chanika
Mkitaka tag semeni nyie wawekeni Hela tu mezani Hao kama ffu wkija

Ova
 
Duh bot flats pale

Ova
Asbh wamamaa wanateseka na vipochii vyaoo balaaa......mpwa umehamaa huku ama.umehamia masaki tenaaaa....HUKO mwendo wa Black/Blue lebel
 
Sijajuaa lakini naskia hana.MWEZI wamebadili siunawajua naoo n Shida
Huyudogo mpaka anafungwa alishahuduria pale kama anaenda ibada za.mwamposa anaingia anatoka jamaa mmoja akakomaa nae akafungwa
Huyo kwa mwaiposa zuga tu

Ova
 
Asbh wamamaa wanateseka na vipochii vyaoo balaaa......mpwa umehamaa huku ama.umehamia masaki tenaaaa....HUKO mwendo wa Black/Blue lebel
Nshawajua wale wanasogeaga mpk royal oven mpk daraja I ila hku tunawalia timing Ngj turudi hko.....
Ila hku washashtuka naona Sahv wanapakimbiaaa.....
Kna mmoja alikamatwa tulimnywesha sana maji ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hyo alienda waadisia we zake

Ova
 
Hahahaaaaaaaaa YAAANI YALE MAJII NDIO SOLUNT HATAREE
 
MPWAAAAAA DOGOOOOO ANANGUVU ZA GIZA KALIIII

YAANI ALISHAWAHI RUKA FENSI YA MTU AKAPIGWA RISASI YA MGUUU AKAJIGOKONGOJA JK NDANI MPAKA BARABARAN AKALAMBA PIKPIK MWEZI ANATEMBEA JAMAA ALIEMUWASHA ANAJUA ASBH ANAMKUTA WEEE

CHA MTOTO TULIMRUSHIAGA MAWE YA KICHWA SIKUMOJA VITOFA TUNAONDOKA KILA.MTU ANAJUA KAFA KESHOKUTWA YAKE MPWAA NKAMWONA NJIAN NILISIMAMISHA BODA NKAENDA KULALA GUEST...NILIAMKA NKAKAA KWA BR WIKI MPWA BAHATI AKAPIGA TUKIO LINGINE IKAWA SALAMA YANGU WAKAMPIGAAA MBAYAA WAKAENDA KUMFUNGAAA

HOPE AJARUDI NA KUMBUKUMBU ZANGU MPWAA JAMAA BALAA USIKU AKIKUSIMAMISHA UKIBISHA KIDOGO KULA YA BAPA AMA.KISU N DK MOJA

CC KAWE POLISI
Basi mrogeni huyo
kesho mtamkuta kachomwa moto na majini mnachukua maiti wenu mnamzika kwa heshima
 
Back
Top Bottom