Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Baada ya kuwa mtu mzima, hata siku moja siwezi kuamini machozi ya mwanamke kwa haraka haraka!
 
Ushauri wangu kwako mdau ni mmoja tu. Tafuta marafiki .
 
Sio kwa ubaya mkuu.

Nimefanya hivi ili ku-infict the same pain kwa jamaa kama yupo humu. Lakini pia iwe funzo kwa sisi wengine. Binti wa watu anaumia sana. Ananyamaza dk 10 halafu ghafla anaanza kulia tena. Just imagine angekuwa ni dada yako.
Huyo binti atakuja kufa bure sababu ya binadamu mwenzake. Akifa wengine wanaendelea na maisha. Kwenye hii dunia, kitakachonifanya niumie sana ni kuugua ugonjwa kama kansa ambao hauponi, au kukosa hela hata ya kula. Mengine wala hayawezi kuniumiza kiasi cha kuharibu maisha yangu. Ukikutana naye tena umshauri asiamini binadamu yoyote kwenye dunia hii na maisha yake tana thamani kuliko kitu chochote hapa duniani.
 
Kama mume yupo humu JF, na akaona huu uzi, anaweza kupata pa kutokea. Kesi inageuzwa hii kinamna namna ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…