Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Ngoja nikutakie kifo chema mapema kabisa...Nimeota nimevaaa groves, nikiandaaa mwili wa maiti, katika zoezi hilo kuna watu wengi, ikiwemo baadhi ya watu mashuhuli waliokufa ikiwemo kanumba.
Nini maana ya ndoto hii kwenye ulimwengu wa ndoto
Nashukuru sana tutakutana akheraNgoja nikutakie kifo chema mapema kabisa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikutakie kifo chema mapema kabisa...
Nimeota nimevaaa groves, nikiandaaa mwili wa maiti, katika zoezi hilo kuna watu wengi, ikiwemo baadhi ya watu mashuhuli waliokufa ikiwemo kanumba.
Nini maana ya ndoto hii kwenye ulimwengu wa ndoto
Wee Mchaga mbege uliyokunywa jana ilitiwa nini?[emoji23] [emoji1544][emoji1550]Ngoja nikutakie kifo chema mapema kabisa...
NI Kweli. Hakikisha unaniwekea siti ya dirishani...Nashukuru sana tutakutana akhera
Nilichanganya na Konyagi...Wee Mchaga mbege uliyokunywa jana ilitiwa nini?[emoji23] [emoji1544][emoji1550]
Mkuu mshana mi niliota baba mkwe wangu kafariki na jana pia mke wangu kaniambia kaota mara 2 baba Ake kafariki, yani ndani ya wiki hii ndo wote tumeotaUmekingwa na jambo mbaya kubwa ambalo lingekutokea hivi karibuni.. Ulimwengu wa roho hututangulia kuona ya mbeleni na kutuletea taarifa kwa njia za
Ndoto
Machale
Kusita
Kusahaulishwa
Kuzubaishwa
Kuzuzulishwa
Duuh kwaiyo limepita tayari[emoji848]Umekingwa na jambo mbaya kubwa ambalo lingekutokea hivi karibuni.. Ulimwengu wa roho hututangulia kuona ya mbeleni na kutuletea taarifa kwa njia za
Ndoto
Machale
Kusita
Kusahaulishwa
Kuzubaishwa
Kuzuzulishwa
Ushasalimika mkuuDuuh kwaiyo limepita tayari[emoji848]
[emoji23] ahsantee sana Mungu