Kwako mshana Jr. Na watafsiri wengine!

Kwako mshana Jr. Na watafsiri wengine!

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Nimeota nimevaaa groves, nikiandaaa mwili wa maiti, katika zoezi hilo kuna watu wengi, ikiwemo baadhi ya watu mashuhuli waliokufa ikiwemo kanumba.

Nini maana ya ndoto hii kwenye ulimwengu wa ndoto
 
Nimeota nimevaaa groves, nikiandaaa mwili wa maiti, katika zoezi hilo kuna watu wengi, ikiwemo baadhi ya watu mashuhuli waliokufa ikiwemo kanumba.

Nini maana ya ndoto hii kwenye ulimwengu wa ndoto

Haina maana, jitahidi kulala mda wa kutosha na kusoma vitu vya maana
 
Umekingwa na jambo mbaya kubwa ambalo lingekutokea hivi karibuni.. Ulimwengu wa roho hututangulia kuona ya mbeleni na kutuletea taarifa kwa njia za
Ndoto
Machale
Kusita
Kusahaulishwa
Kuzubaishwa
Kuzuzulishwa
Mkuu mshana mi niliota baba mkwe wangu kafariki na jana pia mke wangu kaniambia kaota mara 2 baba Ake kafariki, yani ndani ya wiki hii ndo wote tumeota
 
Umekingwa na jambo mbaya kubwa ambalo lingekutokea hivi karibuni.. Ulimwengu wa roho hututangulia kuona ya mbeleni na kutuletea taarifa kwa njia za
Ndoto
Machale
Kusita
Kusahaulishwa
Kuzubaishwa
Kuzuzulishwa
Duuh kwaiyo limepita tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom