Kwako Mh Magufuli Pesa zinazokusanywa nyingine sio halali

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
796
Baada ya watumishi serikalini kunyimwa mishahara ya mwez November na December mfululizo.

Fedha hizo ama hazina wanajitutumua kujikosha kuongeza mapato ama kukomoana baada ya idara za serikali kuwa na joto la serikali ya awamu ya Tano.

Ningeomba ieleweke kwamba, mateso wanayoendeleza kuyapata waliokosa fedha hizo, si halali ktk matumizi mengine
 
Kwahiyo mapato tunayoambiwa yameeongezeka ni pesa za mishahara alafu wanasema serekali inapiga kazi hahahaa
 
TRA wanakutumia barua ya kudai kodi yao kwa vitu ambavyo wao wenyewe wame declare non vatable !
Eti wanasema walisahau kimakosa kukutoza VAT hivyo wanataka uwalipe mil 100 !?
Cha kujiuliza ni kuwa, wewe hujatoza hiyo VAT kwa kuelewa bidhaa haina kodi, sasa unalipa VAT ipi uliyokusanywa !??
Mtakimbiza wawekezaji kwa mambo haya yasiyo tabirika !
 
Back
Top Bottom