Kwako godi lavu

Mshana Jr, hivi unajua waliotongozana kwa style hii mahusiano mengi yamedumu sana kuliko hii dot.com? Kumbumbu nzuri pia kwa vijana wa zamani.
 
Mshana Jr, hivi unajua waliotongozana kwa style hii mahusiano mengi yamedumu sana kuliko hii dot.com? Kumbumbu nzuri pia kwa vijana wa zamani.
Siku hizi uongo ndio sifa ya kwanza
 
Kumbe na huko kwenu yupo huyu jamaa?
 
Dah!! Yani Hayo Maneno Kama Naambiwa Mimi Haki Ya MUNGU Namuoa Huyo Msichana.
 
Siku izi bila saundi hung'oi manzi..... ila uongo unaoshabihiana na ukweli maana nao wamekua wepesi king'amua.... kisha unammaliza na heinken tatu bariiiiiiid.....

Yan apo utajilia "fitu fyako" km umelipia mahari avae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…