Mkuu wa Wilaya Muleba na Mkurugenzi punguza kumhujumu Profesa Ana Tibaijuka!

malemwa

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
205
139
Salm wana bodi

Nimekuwa nikipita pita maeneo ya Muleba hasa kipande cha kuelekea Rubya, licha ya mama huyu kukumbwa na tuhuma na mambo mengi mpaka kufikia hatua ya kusema hatogombea tena Ubunge inamaana ameona mengi.

Mama huyu wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu mwaka 2015 alipiga magoti na kulia mbele ya Mh, Raisi wetu mpendwa kuwa anaomba ajengewe barabara ya Rami kutoka Muleba hadi Rubya km 19 ambapo kuna hospitali teule ya Wilaya na kweli akawa amekubaliwa ikahanza kutengenezwa cha kushangaza ni mwaka wa pili na nusu barabara hawataki watu wa pite na hakuna kinachoendelea mahara pale
Mkuu wa wilaya tunajua upo kama bujeti iligoma au mmeamua juudi za mama huyu zisifanikiwe basi tunaomba mkazibe mashibo ya Mtaro pale Kanyambogo ili hii barabara itumike wakati mnajikongoja kutafuta pesa.

Ila km wewe mkuu ukiamua hichi kitu kinaweza kuisha kwa mda na sio kila jambo likae mpaka Mkuu wa nchi aje kusema juu ya kitu kidogo wakati nyie mpo .kuweni na huruma na wananchi wanavyozunguka Nshamba na kutozwa hela nyingi lakini pia kwa wamama maskini wajawazito ambao wanakuwa wamepewa rufani ya kwenda Rubya hospital
Naiman utachangamkia ili walau mama aliyepiga magoti Mbele ya mkuu aweze kufurai juu ya ilo kilometer 19 sio nyingi Mbona Kamachumu kwa Mwijage mmeweza??
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom