Kwahiyo dada yake Polepole katekwa?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,739
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa baada ya kusoma maelezo ya Maria Sarungi kwenye mtandao wa X .

Katika andiko lake kwa lugha ya kingereza zaidi ya muda wa lisaa limoja lililopita, amegusia kuwa dada yake Polepole ametekwa(abducted)

Swali ni ametekwa au wavamizi wameishia tu kuruka ukuta na kuingia na kisha kutoka?
 
Kwa hiyo kuteka na "kuumiza" ndio dira ta Taifa kwa sasa?
Imeingizwa ktk Dira ya 2050? Very bad
 
🥶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…