Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,690
- 9,120
Kwanini Wanawake peke yao walaumiwe wakati malezi ya Watoto yanawahusu wazazi wote?
[emoji120]Jukumu la kulea alikabiziwa mwanamke ndiye astahiliye lawama ya mtoto
Busy kiasi kwamba watoto wanaharibika tena ndani ya nyumba zao na hawana habari kabisaaaa. Sasa sijui wanakuwa busy kwaajili ya nani!!!Pole sana, wazazi wa siku hizi they are so bussy
Just emagine!!! Mtoto wa chekechea unampeleka boarding ili iweje!! Tena unakuta mzazi anajisifia kabisa, sasa mtoto kama huyo malezi na mapenzi ya wazazi wake atayapata lini?Inachangiwa na kumpeleka mtoto mdogo boarding school ambaye bado hajajitambua, kitoto kinasoma boarding tangu kiko chekechekea
Huwa sielewi hapo wanakuwa bize wakitafuta mahitaj ya mtoto etiBusy kiasi kwamba watoto wanaharibika tena ndani ya nyumba zao na hawana habari kabisaaaa. Sasa sijui wanakuwa busy kwaajili ya nani!!!
Wazazi wanashindana na imekuwa sifa kuwapeleka medium schools et wajue kiingereza, kwahiyo mtoto wakijua kiingereza Mzazi anachekeleaJust emagine!!! Mtoto wa chekechea unampeleka boarding ili iweje!! Tena unakuta mzazi anajisifia kabisa, sasa mtoto kama huyo malezi na mapenzi ya wazazi wake atayapata lini?