Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Muda mwingine tusilaumu sana wazazi company nyingi siku hizi ni mbaya na mambo mengi ya vijana siku hizi yanafanyika kwa influence ya peer pressure, hasa wale wanaosoma boarding schools
Kweli tunapaswa kuwa karibu na watoto wetuNi kweli kwa namna moja unaweza kutulaumu wanawake ila naomba tu utambue kuwa mtoto wa kiume anajifunza kuwa MWANAUME kutoka kwa baba yake, hivyo msikimbie hizi lawama. Ingieni katika maisha ya watoto wenu mtambue nini kinaendelea.
Yaani mkuu umelileta hili wakati ambao nina case kama hii inanipasua kichwa mpaka basi. Nasisitiza sana wazazi ingieni katika maisha ya watoto wenu mjue nini kinaendelea.
kosa la wanawake ni hapo kwenye kuwakubali na kuishi nao kama wanawake wenzao, yaani kuwatafutia mabwana n.k ambayo yanakuwa ni ya wanawake
Yani we mwanamke kama mlezi wa watoto nyumbani unaruhusuje mwanao kucheza michezo ya like kama rede
Una ruhusu Veep mwanao wa kiume kuwa na tabia ya kusuka wadada
Unalea mtoto wa kiume afu anaanza kujibenua akitembea afu unaridhika tu
Tabia za kukaa chumba kimoja na watoto wa kiume afu we ni single mother inapelekea hili
Toto la kiume linakaaje nusu SAA kwa dressing table afu unachekelea
Na nyie wasichana kwa nini munawafanya kuwa marafiki zenu hawa
Kwa nini munawataftia mabwana
Ki ukweli siwez endelea kuandika machozi yananitoka
Nalia ngwena
Tupige vita ushoga wakuu
Mungu ni mwema ataepusha hiliNi changamoto kiukweli nina vidume tu nikiona hizi story nahisi kuumwa kbs tusaidizane wote tu
Yaani hili neno silipend dume zima linaandika JomoniNa nyie wanaume munaosema jomoni soon mtakua kama hao
Pole sana, wazazi wa siku hizi they are so bussyNi kweli kwa namna moja unaweza kutulaumu wanawake ila naomba tu utambue kuwa mtoto wa kiume anajifunza kuwa MWANAUME kutoka kwa baba yake, hivyo msikimbie hizi lawama. Ingieni katika maisha ya watoto wenu mtambue nini kinaendelea.
Yaani mkuu umelileta hili wakati ambao nina case kama hii inanipasua kichwa mpaka basi. Nasisitiza sana wazazi ingieni katika maisha ya watoto wenu mjue nini kinaendelea.
Inachangiwa na kumpeleka mtoto mdogo boarding school ambaye bado hajajitambua, kitoto kinasoma boarding tangu kiko chekechekeaMuda mwingine tusilaumu sana wazazi company nyingi siku hizi ni mbaya na mambo mengi ya vijana siku hizi yanafanyika kwa influence ya peer pressure, hasa wale wanaosoma boarding schools
Kuna mtu nilikuwa nachati naye anaandika hilo nikadhani ni typing error badala ya jamani anakosea anaweka jomoni kumbe ni ndo habar ya mjini.Yaani hili neno silipend dume zima linaandika Jomoni
Halina hata maanaKuna mtu nilikuwa nachati naye anaandika hilo nikadhani ni typing error badala ya jamani anakosea anaweka jomoni kumbe ni ndo habar ya mjini.
Are you a single mom?Ni changamoto kiukweli nina vidume tu nikiona hizi story nahisi kuumwa kbs tusaidizane wote tu
Mkuu bila ya kusahau lesbians..nao pia ni janga kubwa
Yani we mwanamke kama mlezi wa watoto nyumbani unaruhusuje mwanao kucheza michezo ya like kama rede
Una ruhusu Veep mwanao wa kiume kuwa na tabia ya kusuka wadada
Unalea mtoto wa kiume afu anaanza kujibenua akitembea afu unaridhika tu
Tabia za kukaa chumba kimoja na watoto wa kiume afu we ni single mother inapelekea hili
Toto la kiume linakaaje nusu SAA kwa dressing table afu unachekelea
Na nyie wasichana kwa nini munawafanya kuwa marafiki zenu hawa
Kwa nini munawataftia mabwana
Ki ukweli siwez endelea kuandika machozi yananitoka
Nalia ngwena
Tupige vita ushoga wakuu
lol u made my morning bruh bruh2nd dude from the left got it so bad man. Can't be short and fairy, gotta choose a struggle. Anyway, maybe they're dressed for Halloween as some of your favorite mamas in these streets.
Bora wa kikeHili ni janga na linaendelea kuwa janga saiz ukizaa mtoto wa kiume roho juu, ukizaa mtoto wa kike roho juuu, sasa hivi faida ya hawa watoto inategemeana na malezi
Aamen my dearMungu ni mwema ataepusha hili
Jukumu la kulea alikabiziwa mwanamke ndiye astahiliye lawama ya mtotoWanaume ndo walaumiwe zaidi nadhani