Kuna mambo ambayo hayatakiwi kufungiwa macho hasa hili walilotufanyia chadema Kibaha mjini katika hali ya kushangaza katika kura za maoni aliyeshinda kuwania ubunge si mkazi wa Kibaha sasa hapo ndo unaona ujinga wa waliopiga kura kuwa kwa kutufanya ss wajinga
siku zote anayeyajua shinda za Kibaha ni mtu aliyezaliwa Kibaha ama kuishi Kibaha siyo mmnatuletea mtu anayeijua Kibaha naanaijuwa kibaha kwenye magazeti ni mara mia tubaki na boga letu hili ambalo ni bubu kule mjengoni kuliko kutuletea mtu ambaye si mkazi wa hapa kibaha
najua mtahisi ni ubaguzi ila hili ni jambo la msingi sana mbunge awe mkazi wa jimbo lake na si ahamie Kibaha kisa anataka kuwa mmbuge, tunataka mmbuge anayejuwa shida zetu za Kibaha ndo zimsukume kuwania ubunge na si vinginevyo.
Na ninyi wanachadema mliomchagua huyu mtu mliangalia vigezo gani mbona mnatuziguwa ss hatuitaki ccm ila mnatufosi tuichague katika hali kama hii hata kama ni mnazi, au kada maarufu mtamchaguwa mtu kama huyu tunawapenda sana ila katika hili kura hatuta wapa.
Sina haja ya kuharibu ila nia yangu ni kuelimisha pale tunapohisi kuna makosa ya msingi kama haya Mungu wabariki wanaotaka kubarikiwa.